Una wivu?

Una wivu?

Enginier

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
276
Reaction score
36
Someone sent this to me..

WE UNAJIONA UNA WIVU??

Mzee 1 alikuwa anaumwa kansa,
MTOTO :baba mbona doctor Anasema una kansa ila watu wanaokuja kukuona hospital unawaambia una "Ukimwi?"
Baba :Mwanangu kuwa uyaone,we huwajui hawa bila kuwaambia hayo,
nikifa wata****** sana mamaako.
 
wivu hadi kusingizia ukimwi? huo ni wa hali yajuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom