JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuanzia wakurugenzi wa makampuni makubwa,wanasiasa,wajasiriamali,mabilionea,forbes chitchat inawaletea watu wenye nguvu zaidi chitchat, name; Baba V organisation;CEO wa Chitchat...
8 Reactions
104 Replies
5K Views
wana swaga sana. dar es salaam waniita kudaresalaam. newala wanaiita kunewala. marangu kubwa wanaita...!!!. mia
0 Reactions
1 Replies
2K Views
hahahahahahaahahh wanawake wachit chat mwaka mupya hii ,haya sasa inasemekana ndoa nyingi za cc zinadumu sababu ya hiyo hapo juu hahahahaahah amu charminglady cacico lara 1 madame b marejesho...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari wana jf nafurahi kuwajulisheni kuwa jana mchana th.20.01.2013 mwenyezi mungu amenijalia tena mtoto wa kike nimembatiza Ayesiga mama yake yuko salama na anaendelea vizuri,nawashukuruni...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
hivi kati ya O na 0 wanasema moja ni namba na nyingine ni herufi. Mi sasa sijui ndiye kilaza, hilo swali nimepewe leo kwenye asignment yangu ya chekechea na nimekosa jibu hadi sasa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
zamani shule nyingi za msingi kulikuwa na mtoto amabyae ni sugu,siku hizi kuna masharobaro>Shule yetu alikuwepo mtoto mmoja yaani sugu kwelikweli,yaani akichapawa hata na walimu wote halii,havai...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za jioni ndugu zangu wanachit-chat, natumai mpo salama salmini. Nawaandikia ujumbe huu ili muwe makini sana na huyu jamaa kwani ameingia humu jukwaani kwa kazi kuu ya kuwatafutia watu ban...
0 Reactions
92 Replies
6K Views
Nina marafiki wengi wapo ulaya na marekani kazi yao ni kunitumia picha walizo piga kwenye majengo mbalimbali, lakini hawaniambii wanafanya kazi gani.Ninavyo wajua kwa kupenda sifa wangekuwa na...
5 Reactions
231 Replies
16K Views
Loyal Husband Husband comes home drunk and breaks some crockery, vomits and falls down on the floor. Wife pulls him up and cleans everything. Next day when he gets up he expects her to be...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Mapach wawili(wakike na kiume)walikuwa wanapendana sana kila siku walikuwa wanaenda kula kuku. Baada ya kubalehe wakaanza kuota nywele sehemu za siri. Pacha wa kike akamwambia kaka yake "Hawa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya kutingwa na mishemishe za kufunga mwaka 2012 na kufungua mwaka 2013 kwa mambo kadha wa kadha sasa narejea jamvini. Wale wandugu wa Dari salama na maeneo ya jirani jamani tukutane...
1 Reactions
69 Replies
4K Views
Kuna watu wana mzaa dunia Jamaa: oya umeunga bundle uniazime modem niperuzi. Msela: hapana nilikosa kitunguu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii imetokea huko Kenya Mgeni rasmi akikaribishwa kutoa hotuba Tunashukuru sana ndugu mgeni kwa Kunya kwako, Kila ukiitwa umekuwa ukiharisha lakini leo umekunya, asante sana kwa kunya...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Wapendwa! Really missed you guys!Si nilisahau password yangu nikapotea jiii narudi nakutana na mambo kibao Sasa natafuta wakunipeleka hiyo White Party tarehe 26 jamani ukata wa January mbaya...
2 Reactions
60 Replies
4K Views
Wanabodi najua humu kuna wataalamu wa kila aina. Kuna jamaa yangu anatumia simu ya NOKIA X2-1. Ina uwezo wa kudownload mp3 na video kwenye waptric lkn kama mnavyojua vitu vingi havik kule tu...
0 Reactions
4 Replies
971 Views
namtafuta huyo member aliyenifanyia hii kitu aisee,... mm nilikuwa mdau mzuri sana wa JF lakini kwa sasa kila nikijaribu kugusa JF humu nateleza, erick b52 na Smiling Saint mnisaidie
5 Reactions
77 Replies
4K Views
MAPASTOR watatu walikutana wakaelezana shida zao ili waombeane PASTOR wa kwanza: mimi tatizo langukila nikitoka kwenye ibada lazma niibe sadaka za waumini naomba niombeeni niache. PASTOR...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
mfumo wa digital Wameboresha kuweka lugha ya kihehe kwenye sim na mambo yatakuwa kama ifuatavyo:- Phonebook SHITABU SHA ISIMU Names MATAWA. Exit HEGE IPA. Cancel DUMULE. Setting...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mdada mmoja mrembo sana alikuwa kapewa talaka na mumewe akahamia nyumba aliyokuwa kapanga braza Joni.... Joni alipomuona mpangaji mpya roho yote ikamtoka... Akajitahidi kila njia kumuonyesha...
0 Reactions
2 Replies
972 Views
Mshitakiwa kafikishwa mahakamani akishtakiwa kushikwa ugoni. Hakimu: Mshitakiwa, ni kweli ulilala na mwanamke huyu usiku wa jumatano tarehe 12 July? Mshitakiwa: Hata lepe sikupata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom