adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,947
- 5,396
Mdada mmoja mrembo sana
alikuwa kapewa talaka na
mumewe akahamia nyumba
aliyokuwa kapanga braza Joni....
Joni alipomuona mpangaji mpya
roho yote ikamtoka...
Akajitahidi kila njia kumuonyesha
kuwa nae yupo na ni bachela,
mdada akawa anaendelea na
shughuli zake bila hata kuonyesha
dalili za kumwona....
Jioni moja Joni akiwa kapumzika
akasikia hodi kwenye chumba
chake, alipofungua akakutana uso
kwa uso na yule mdada mpangaji,
kapendeza sana fulu
mapoooooooouuuu daaa!
Mdada: "Samahani kaka, yaani
nimekaa muda mrefu mpweke
nimeona leo lazima nitoke
nikajirushe kidogo. Vipi we uko
free?!?!"
Joni: "Aaaaah, mimi tena!!!! Mimi
sana tu!!!! Niko free sina kitu
chochote ninachofanya jioni hii,
yaani niko free kabisaaaaaa, si
unaona mwenyewe niko free sina
ishu kabisaaa!!!! Tena hata mimi
najisikia upweke upweke!!!!"
Mdada: "Loh!!!! Afadhali!
Nakushukuru sana kaka yangu,
basi ngoja nikuletee watoto
wangu ushinde nao mpaka
ntakaporudi!!!! "
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
alikuwa kapewa talaka na
mumewe akahamia nyumba
aliyokuwa kapanga braza Joni....
Joni alipomuona mpangaji mpya
roho yote ikamtoka...
Akajitahidi kila njia kumuonyesha
kuwa nae yupo na ni bachela,
mdada akawa anaendelea na
shughuli zake bila hata kuonyesha
dalili za kumwona....
Jioni moja Joni akiwa kapumzika
akasikia hodi kwenye chumba
chake, alipofungua akakutana uso
kwa uso na yule mdada mpangaji,
kapendeza sana fulu
mapoooooooouuuu daaa!
Mdada: "Samahani kaka, yaani
nimekaa muda mrefu mpweke
nimeona leo lazima nitoke
nikajirushe kidogo. Vipi we uko
free?!?!"
Joni: "Aaaaah, mimi tena!!!! Mimi
sana tu!!!! Niko free sina kitu
chochote ninachofanya jioni hii,
yaani niko free kabisaaaaaa, si
unaona mwenyewe niko free sina
ishu kabisaaa!!!! Tena hata mimi
najisikia upweke upweke!!!!"
Mdada: "Loh!!!! Afadhali!
Nakushukuru sana kaka yangu,
basi ngoja nikuletee watoto
wangu ushinde nao mpaka
ntakaporudi!!!! "
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums