Nimepata mtoto wa kike.

Nimepata mtoto wa kike.

Chibolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
5,768
Reaction score
8,044
Habari
wana jf nafurahi kuwajulisheni kuwa jana mchana th.20.01.2013 mwenyezi mungu
amenijalia tena mtoto wa kike nimembatiza Ayesiga mama yake yuko salama
na anaendelea vizuri,nawashukuruni sana kwa sala zenu.
 
Jiandae kununua gobore na kama nje kwako kuna kasehemu kakukaa jiandae kupapaka oil chafu kila mara.
 
Habari
wana jf nafurahi kuwajulisheni kuwa jana mchana th.20.01.2013 mwenyezi mungu
amenijalia tena mtoto wa kike nimembatiza Ayesiga mama yake yuko salama
na anaendelea vizuri,nawashukuruni sana kwa sala zenu.

Hongera Baba Asiyesiga, lakini neno tena linaonesha kuwa wakati unaandika kuna kitu ulikuwa unawaza.
 
Habari
wana jf nafurahi kuwajulisheni kuwa jana mchana th.20.01.2013 mwenyezi mungu
amenijalia tena mtoto wa kike nimembatiza Ayesiga mama yake yuko salama
na anaendelea vizuri,nawashukuruni sana kwa sala zenu.
Aiseee hongera sana i wish u the best in raising her.Naomba nikutupie kadi ya fastafasta hapa.

imagesCAGN9P2I.jpg



imagesCAOBKHNY.jpg


imagesCATUX6NX.jpg.
 
Sijui kwanini mtu (mwanaume) akipata mtoto anapewa hongera.
Labda ndo maana watoto hawakuzwi vyema siku hizi,ukishazaa ukapewa hongera
unaona ume maliza kazi.

Me nampa pole mama wa mtoto kwa safari ndefu ya miezi 9,nawe nakutakia majukumu mema katika kumkuza vyema
mtoto. Hukufanya kazi yoyote ile kupachika mimba,kazi ni sasa....tunza mtoto.
 
Aisee yani wewe inaonekana ni mkuda na kauzu haswa.

Jamaa labda awe na ukuta mkubwa ambao hata mwizi akitaka kuingia aumize kichwa lasi hivyo atajibeba.
chezea vijana wa Bongo weye!!!!!!
 
Hongesa sana Chibolo, Nakuomba mfungulie account yake leo,hii anza kumwekea hata sh 5000/- tu kwa ajili ya Future yake ya baadaye ,au pale utakapokwama Ada ya shule. Waswahili wanasema kesho Huanza Leo!!
 
Hongereni sana.
Mwanenu akue, aongezeke kimo na hekima pia.
 
Una uhakika mtoto ni wa kwako.Pongezi kwa huyo mama
 
Habari
wana jf nafurahi kuwajulisheni kuwa jana mchana th.20.01.2013 mwenyezi mungu
amenijalia tena mtoto wa kike nimembatiza Ayesiga mama yake yuko salama
na anaendelea vizuri,nawashukuruni sana kwa sala zenu.

Hongera sana mkuu.
Copy: Madame B
 
Last edited by a moderator:
hongesa sana chibolo, nakuomba mfungulie account yake leo,hii anza kumwekea hata sh 5000/- tu kwa ajili ya future yake ya baadaye ,au pale utakapokwama ada ya shule. Waswahili wanasema kesho huanza leo!!
wazo zuri,ila kwa `inflation` ya tanzania hizo tsh 5000/ za leo baada ya miaka 10 zitakuwa sawa na shs 500 za kitanzania pamoja na kupata faida za mwaka.kwa maana atapoteza` purchasing power`kwa kiasi kikubwa sana,alternatively amnunulie hisa.
 
Back
Top Bottom