Wabongo mlioko majuu hivi huko mnafanya kazi gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabongo mlioko majuu hivi huko mnafanya kazi gani?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kitonsa, Dec 23, 2011.

 1. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nina marafiki wengi wapo ulaya na marekani kazi yao ni kunitumia picha walizo piga kwenye majengo mbalimbali, lakini hawaniambii wanafanya kazi gani.Ninavyo wajua kwa kupenda sifa wangekuwa na kazi nzuri wangeniambia haraka .Kama kuna mtu mkweli aseme yeye anafanya nini? huko.
   
 2. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,446
  Likes Received: 7,185
  Trophy Points: 280
  Waambie wakutumie picha wakiwa ofisini
   
 3. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kazi ni kazi ili mradi mkono uende kinywani, na Maisha popote sio lazima bongo.
   
 4. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  jibu swali unafanya kazi gani? Sijakuuliza kama umekula ata mbuzi anakula pia
   
 5. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mimi sipo ulaya, Lakini wewe kazi ya mtu itakusaidia nini? Hata akikwambia anafanya biashara, anazibua mitaro, ni houseboy wa mtu, ana kampuni au hafanyi kazi anasoma, au anabeba box wewe inakusaidia nini?
  Jaribu kuanzisha thread za maana, kuna vitu vingi vya kujadili kwa ajili ya maendeleo ya nchi hii, sio kukaa kuuliza maswali asiyo na kichwa wala miguu
   
 6. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  nenda jukwaa la siasa au uchumi halafu sijakuuliza wewe nimewauliza wanaoishi huko majuu
   
 7. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ndio matatizo yenu watoto wa Facebook mnaovamia JF, umesoma sheria za JF vizuri lakini?
   
 8. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  we umezisoma nadhani ukuzielewa
   
 9. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,446
  Likes Received: 7,185
  Trophy Points: 280
  Wivu unakusumbua inaelekea ulinyimwa visa
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Hivi wakazi walioko Mwanza wanafanya kazi gani? mfano na mimi huwa wananitumia picha wakiwa mashambani.....
   
 11. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kubeba box..
   
 12. W

  Warrior Ruff Member

  #12
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Binafsi Nauza Bar hapa Cardif ila maisha ni poa sana kuliko manager wenu wa tanesco mkoa
   
 13. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Poor comment ujasaidia lolote bado hupo pale kwa mleta hoja
   
 14. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #14
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu nataka ujue watanzania hatukubahatika kuwa na skill'sasa hilo tatizo limesababissha wengi tuwe na maisha ya kubahatisha kwa sababu hatuna ujuzi maalum'sasa ukiwa nje ya nchi hii inabidi ufanye kazi yoyote ile ili uweze kuishi'sasa kama unataka kujua anzia hapo kufikiri
   
 15. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #15
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,446
  Likes Received: 7,185
  Trophy Points: 280
  Kuna wengine wanaskills kabisa,ila huko waliko hizo nchi zinawapa vipaumbele wazawa kwanza kuliko wageni
   
 16. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,446
  Likes Received: 7,185
  Trophy Points: 280
  Utakuwa nje wewe!
   
 17. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #17
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hongera kwa kuwa muuza bar kazi ya ubarmaid inalipa kama meneja!!!? Kwani meneja wa tanesco anawafungua bia walevi?
   
 18. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Maisha popote mkuu.
   
 19. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #19
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  am dealing drugs
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mimi nafanya kazi Supermarket hapa Clarendon Road London and i am paying my bills, sijui habari ya mgao wa umeme, ukame, ubovu wa huduma za hospitali na mengineyo..
   
Loading...