Kiswahili mbofumbofu.................... .

Kiswahili mbofumbofu.................... .

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Hii imetokea huko Kenya

Mgeni rasmi akikaribishwa kutoa hotuba

Tunashukuru sana ndugu mgeni kwa Kunya kwako, Kila ukiitwa umekuwa ukiharisha lakini leo umekunya, asante sana kwa kunya kwako..................
 
..........na siku uliohahirsha ulituambiwa umefiriwa mdogo wako.........
 
fikiria kama ni Rais............Mh Rais asante kwa kunya kwako hapA...............
 
watu walikuwa wanasubiri kunya kwako kwa hamu kubwa sana na walikuwa wanajiuliza kwanini umechukukua muda mrefu kutokunya hapa:confused2:
 
siku hizi unakunya kwa taabu sana, mara nyingi unaharisha
 
Tuanomba siku ingine tutakapo kukaribisha usihrishe au kuskose ku kunya hapa......
 
Back
Top Bottom