Heheheh!!! ngoja nianze kwa cheko kwanza maana hii nyeti nimetoka kuisikia hapa kwenye korido za Wizara ya Maliasili na Utalii...
Eti lile jilima refu kuliko urefu wenyewe linalopatikana kwa WASEE...
Naku.............................. Manoah. lakini naogopa kukwambia coz cjui utachukuliaje
then namuogopa mama yako ticha mkali
pili kakulea kwa maadili yote cjui kama ntaweza fanikiwa,
Any Agent...
Mi basi bana The secretary katafute bwana mwingine akuoe.Wivu gani huo mpaka unatoa povu utadhania umemeza omo.Mchango nilitoa,shati jeupe la linen mariedo nikanunua.Wakati najiandaa kutoka...
SIJUI KAMA SIKU HIZI IPO HII!
1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa j2 tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa
'rangi mbili'
5. Kupamba kadi sebuleni
6. Ukumbi wa...
Mahusiano mara nyingi hupitia katika majaribu na magumu, na njia nzuri ya kusinda vikwazo ni kusahau tofauti zenu zote na kwa mwenza wako yakupasa kumkumbatia na kupeana moyo.Natumia fursa hii...
Ebwana ee...
Salamu kwa Mods...
Poleni kwa kazi nzito...
Salamu kwa members...
Poleni kwa shughuli za kila siku...
Yaliyonikuta Chit Chat tangu Desember mwaka jana mpaka leo hii.
Fata stori...
Wakuu naona mida ya maakuli ndo hiyo. Waswahili husema ukimchunguza sasa kuku anavyotaga hilo yai utashindwa kulila; au kwa kifupi siri ya mtungi aijuaye kata. Kila mmoja anajua anakopata msosi...
..........Mwendesha bodaboda jana alitoka nduki bafuni alipokuwa anaoga.. huku akipiga kelele ...bafuni kuna mashetani..... kwa sababu kila akijimwagia maji kichwani hayafiki kwenye nywele ...
Jamaa fulani alirudi nyumbani kwa huzuni mazungumzo yao yalikuwa hivi: MKE:Mbona leo una huzuni mume wangu? MUME:Ofisi yetu imeungua ni mimi,sekretari,mhasibu,bosi na mkurugenzi mkuu ndo...
Afisa misitu kaenda kwenye shamba la miti la jamaa kukagua. Jamaa akamwambia usiingie saa hizi. Afisa akatoa kitambulisho cha kazi, "We ni nani wa kunizuia? Kwa hiki kitambulisho hakuna wa...
jamaa alikuwa akikatiza porini mara mbele yake akatokea simba ilikuwa ghafla halafu jirani sana na yeye jamaa kuona vile akajua hata akikimbia hawezi kushindana na yule simba,
jamaa akapiga...
Ukibadili ID toa taarifa tukujue tafadhali. . .
Usituchanganye bhana. . . Wapi manoah, Erotica, Ciello et al??
Hata kama umebadili dini tupe taarifa kwani tulishakuzoea kwa ID ile...
Mkuu zubedayo_mchuzi-
Rejea kiapo chako jana kuwa niombe radhi CC (Kwa kosa nisilo lijua!) la sivyo utanishughulikia kwa sayansi zako ndani ya masaa 24.
Naona ni saa la 26 sasa...vipi,umefikia wapi?