Iron heart...

Iron heart...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
huna hata mia mfukoni...afu unamtokea dada mzuri ana uwezo,ana push usafiri wake,ila kwa kuwa wewe ni iron heart unaenda kwa confidence unamueleza ziki zako ana kusikia na anakupa moyo wake,afu siku zina pita mafogo na mavoji na mabenzi yao wanaanza kuona dEmu mtere mko why yuko na raster kabwela?duh...kumbe wanawake wanapenda mwanaume mwenye confidence hata kama huna kitu...wanaume msiogoe warembo?jiamininii....AAAH NAPITA TU WAKUU USIKU MWEMA
 
nyooooooooo........he he he.....

ila kuna watu wanajua kujitoa fahamu........uso wa mbuziiiiiiiiiiiiii..........
 
Wewe si una confidence njoo dar nakupa adress moja hivi inaitwa magogoni .. kuna nyumba moja white kuna mtoto mmoja mkali sana arifu anaitwa MWANAASHA... kamtokee huyo...

Ila kende zako zikitumwa kesho yake na dar espres kwenda arusha usinilaumu arifu
 
nini tena dada angu iyooo nyoooo kama la mtaa wa bangani...wa ujweli preta nini uso wa meee watu siku hizi uso wa swainiii
 
Wewe si una confidence njoo dar nakupa adress moja hivi inaitwa magogoni .. kuna nyumba moja white kuna mtoto mmoja mkali sana arifu anaitwa MWANAASHA... kamtokee huyo...

Ila kende zako zikitumwa kesho yake na dar espres kwenda arusha usinilaumu arifu
duh!!mangi mambo ya kutoana makende tena...afu yatumwe chungaa,ni lady dread au maana ndo pisi nizazo data nazo
 
Confidence is sexy! Ila turnoff ni pale ambapo unakuwa kila kitu unarelate na economic status yako, aah boring! Unakuta kweli umekuwa na confidence, umemtokea mdada alietangulia kimaisha. Lakini ndo kila kitu ooh unaniona sijasoma, unaniona sina hela, unaenda kuonana na watu wa status yako. Hell to the hell no! Kama unajiamini, jiamini all the way. Na saa zingine unafanya maamuzi ya kiume! Eboo!
 
kula gwara umebonga ki real sana,yani mule mule arifu...che ka na joki,ninapo maanisha confidence MEN IF U SAY NO IS DEM NO...YES IS YES A NO MATER wat...mwanaume lazima uwe na stand banaa
 
Hivi mpaka milango hii hujapumzisha hizo mbavu? "Day old chicks" utawaprodiuz saa ngapi !
Mi nilimbonji sa1 , hivi ndo nawek up!
 
Wengine ndio kwanza tunashine...... Tushalala saaaana......
 
Naam, mwanaume shurti uweke kibesi kidogo. Ijulikane unaweza kuwa head of the family!
kula gwara umebonga ki real sana,yani mule mule arifu...che ka na joki,ninapo maanisha confidence MEN IF U SAY NO IS DEM NO...YES IS YES A NO MATER wat...mwanaume lazima uwe na stand banaa
 
Hiyo kazi ya production na reproduction tume outsource. Sijalala namsubiria Paw arudi nimfungulie mlango. Ndoa kazi kakangu, acha tu.
Hivi mpaka milango hii hujapumzisha hizo mbavu? "Day old chicks" utawaprodiuz saa ngapi !
Mi nilimbonji sa1 , hivi ndo nawek up!
 
nyooooooooo........he he he.....
ila kuna watu wanajua kujitoa fahamu........uso wa mbuziiiiiiiiiiiiii..........
ungezaliwa tajiri ningekuwa 1 kukuseduce na yebo yebo zangu mguuni
 
Back
Top Bottom