Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,031
- 168,653
Party ikiwa inaendelea, vinywaji na maongezi yakikolea huku yakisindikizwa na muziki mwanana, ndipo hapo nikapata fursa bin wasaa wa kumsogelea bibie mmoja.
Maongezi ya hapa na pale yakatufanya tukaribiane zaidi na zaidi, ukaribu ukaongezeka hadi ukatuingia damuni. Nikajikuta napewa denda.
Muda wa kuagana ukafika, nikaondoka na mrembo kimya kimya bila kuaga mtu, tukaenda kuserebuka huku nikiimba wimbo wa Kingoni, NINAPOTAKA MIMI NI HAPO TU,NINAPOTAKA MIMI NI HAPO TU........... Eh mama cheketula cheketu.......
Tukachagua nyumba moja ya wageni kwenda kufanya matusi matamu yenye raha.
Kati kati ya huba bibie akapandisha mizuka ya marehemu Sharo milionea.
Mara alie Ohhh Mama, mara aniambie Umebugi meeeeeeen.... Hadi tunamaliza shughuli nikasema nimekoma mie na wadada wa Chit Chat, vituko gani vyote hivyo vya marehemu?
Sirudii tena kukamata bibie wa Chitchat