MUONGOZO JAMANI au KUHUSU UTARATIBU

MUONGOZO JAMANI au KUHUSU UTARATIBU

Monsgnor

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2012
Posts
551
Reaction score
564
Mimi ni mpya humu chit chat, nauliza kuhusu utaratibu....nini hasa kinafanyika huku, isije kuwa watu wana cheza disco humu mimi nikaanza maombi! Nawasilisha

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwanza kama upo single unatakiwa kuwa registered C.C.B (Chit-Chat Bachelors) mengine yatafuata
 
Karibu! Ila sehemu ya utambulisho rasmi nenda jukwaa la siasa kule ndio wageni wanapokelewa.
 
Karibu sana!
Unatakiwa ukaguliwe na babu Asprin!

Mimi ni mpya humu chit chat, nauliza kuhusu utaratibu....nini hasa kinafanyika huku, isije kuwa watu wana cheza disco humu mimi nikaanza maombi! Nawasilisha

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Karibu! Ila sehemu ya utambulisho rasmi nenda jukwaa la siasa kule ndio wageni wanapokelewa.

Jukwaa la siasa nina ka uzoefu tayari ingawa si kakubwa sana, huku ndio nilikuwa sijawahi ingia!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwanza kama upo single unatakiwa kuwa registered C.C.B (Chit-Chat Bachelors) mengine yatafuata

Yap niko single, na ji register vipi mkuu?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hivi inakuwaje mtu anaingia humu na uwoga directly as if alishawahi kuchezea kichapo??? teh am just curious!

Sio uoga ndugu, watanzania tumezoea kila sehemu zina utaratibu so sio vizuri kuvamia vamia tu!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ada ya usajili ni 300,000 caution money 100,000 chit chat ID 300,000 fedha hizi ziwasilishwe kwangu haraka kwani nafasi ni chache.Naku pm for bank details
 
Kama ni ME,
Mwambieni aje kwangu akaguliwe na Mwanadada, Mdafada, Mwanamke Rijali Madame B.

Ila kama ni KE,
Babu Asprin anamuhusu.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni mpya humu chit chat, nauliza kuhusu utaratibu....nini hasa kinafanyika huku, isije kuwa watu wana cheza disco humu mimi nikaanza maombi! Nawasilisha

Kwa hiyo unataka kumaanisha sisi uliotukuta humu ni CHAKAVU???
Andika kuwa wewe ni MGENI bhanaaaa!!!
 
mbona nashindwa kukuelewa mpenzi...hiyo USED si kimombo hicho???

cku hizi wabongo tumezoea kimombo ndo maana tukiongeleshana kishahili hatuelewani, bora USED ataelewa kwa haraka
 
Back
Top Bottom