Wazo la usiku huu waana chit chat

Wazo la usiku huu waana chit chat

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104
WAZO LA LEO: Fanya usela wako wote, usharobaro wakila aina, uchizi, uhuni, utozi na unyangema lakn HUWEZI KUVAA KANZU MLEGEZO usiku mwema.
 
WAZO LA LEO: Fanya usela wako wote, usharobaro wakila aina, uchizi, uhuni, utozi na unyangema lakn HUWEZI KUVAA KANZU MLEGEZO usiku mwema.

Na pia ukumbuke, huwezi kukwea mnazi huku umevaa msuli.
 
uuwii hii sasa kali! Nimecheka sana
 
Back
Top Bottom