Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
watanzania wavivu jmn!... hebu skia hii wezi 2 walivamia bank na kufanikiwa kuiba mabunda ya hela kufika nyumbani mmoja akamwambia mwenzake "hebu zihesabu tujue ni sh ngapi" mwenzie akamjibu mimi nimechoka subiri taarifa ya habari ya sa mbili watatangaza ni kiasi gani tumeiba!