Baada ya msako wa polisi walimkamata chizi bila kujua, alipofikishwa kituoni yule chizi alicheka sn alipoona picha ya KIKWETE na NYERERE! Walipomuuliza anacheka nini akajibu kweli msako wa leo...
Wabongo bwana, eti siku hizi kama mtindo wa kuomba namba ya simu umeisha flani hivi...kila mtu utakayekutana nae anakuomba BBM Pin, eheeeee msinifanyie hivyo jamani sio kila mtu ana Blackberry...
Hello Player,
I am Agent BISHOP Joh(c/o Scottish Football Association ), A soccer scout based in England. I am presently recruiting players for clubs in the England,Scotland soccer team, clubs and...
Hiki ni chama kipya kabisa kinachopokea mabachela wote JF... Tukiwa na mitazamo tofauti na kile cha Baba V ... Huku ni burudani... Yaani stress free.... Watu kama charminglady , stevoh na C6...
Nipo hapa ofisini gafla nikaona watu wanakimbilia madirishani na mie si nikaungana nao looh jamaa walikuwa wanapiga mambo yetu yale juu ya gorofa lililopo keep left ya askari panaitwa spot lounge...
Mwalimu wa historia alikuwa darasani na kuwauliza wanafunzi
MWALIMU; Eeeeehe!
Ni nani alimuua chifu mkwawa?
MWANAFUNZI; Aku sio mimi!
MWANAFUNZI 2; wallah! Sihusiki!
MWANAFUNZI3; kwanza mimi...
Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa?
>Mshahara Tsh 600,000/= kwa
mwezi.
>Mda wa kazi kuingia saa 2.30
asubuhi
hadi saa 10 jioni.
... >Allowance 300,000/= kwa
mwezi.
>Siku za kazi jumatatu...
Siku moja jamaa mmoja
alienda kununua viagra
( dawa za kuongeza nguvu
za kiumea) kwenye duka
fulani la madawa, bac
kulikuwa na docta pale
akampa dawa flani na
akamwambia ile dawa
angeweza...
NIMEIKUTA HII HUKO FACEBOOK IKIWA IMETOLEWA NA WAKENYA:
Uuuuwi sijawapa uhondo,ndo natoka church ustake ona vioja ilikuwa church leo..
My pastor alikuwa na woman congregation and he made these...
07 February ni siku adhimu na nyeti, kwa Bibie huyu Mlimbwende, Mpole , Mkarimu , aliejaa upendo na kila member.
Aidha mithili yake kwa century hii wapo too scarcity! Lau kama wapo wa...
mchungaji mmoja katika
mahubiri yake huwa
anachangamsha sana
waumini
wake,kwa mfano utakuta
katikati ya
mahubiri utasikia
"..Muambie jirani
yako..Yesu anakupenda!"
basi kwa
furaha na...
Maisha ya ndoa iliyo jawa na amani ni matamu na yenye furaha sana katika siku zote za maisha ya binadamu hapa duniani. Mfano wa familia kama iliyopo kwenye picha hapo chini, nani asie penda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.