Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
Baada ya msako wa polisi walimkamata chizi bila kujua, alipofikishwa kituoni yule chizi alicheka sn alipoona picha ya KIKWETE na NYERERE! Walipomuuliza anacheka nini akajibu kweli msako wa leo mkali hadi KIKWETE na NYERERE wamo?