Chit-chat jumamosi hii

Chit-chat jumamosi hii

NATA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2007
Posts
4,492
Reaction score
1,314
Wapi mpo leo? Mtambuzi mzee wa mawhisk watu tuna kiu!
 
Last edited by a moderator:
Tupo "Toroka uje" hapa mitaa ya Kwa Alfonce. Toroka uje chap!

we Filipo,toroka uje hahaaaa,kumbe na ww ni member yesuruuu,keifongo ya hapo balaaa,mate yamenidondoka nilipoona jina tu!
 
Wapi mpo leo? Mtambuzi mzee wa mawhisk watu tuna kiu!
NATA samahani nilikuwa kwenye kikao na mida hii ndio natoka naelekea "LEO TUPO HAPA PUB" maeneo ya Mwanayamala, nitaungana na wanachita chat kadhaa, jina kapuni kwa ajili ya kusongesha... kama kawaida kutakuwa na Cotensa, Govinder Kumar, Strawberry Lips, Tequila, hii nimeinunua leo pale Mohans na Sambuca Zappa......

Karibu sana
 
Last edited by a moderator:
Nyumbani na watoto, weekday yote tulikuwa kwa job so familia inatuhitaji. Filipo nirushie ka ndfyuu kwa huku lol!
 
Last edited by a moderator:
Wapi mpo leo? Mtambuzi mzee wa mawhisk watu tuna kiu!
NATA samahani nilikuwa kwenye kikao na mida hii ndio natoka naelekea "LEO TUPO HAPA PUB" maeneo ya Mwanayamala, nitaungana na wanachita chat kadhaa, jina kapuni kwa ajili ya kusongesha... kama kawaida kutakuwa na Cotensa, Govinder Kumar, Strawberry Lips, Tequila, hii nimeinunua leo pale Mohans na Sambuca Zappa......

Karibu sana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom