emma115
Senior Member
- Apr 28, 2012
- 135
- 167
Siku moja jamaa mmoja
alienda kununua viagra
( dawa za kuongeza nguvu
za kiumea) kwenye duka
fulani la madawa, bac
kulikuwa na docta pale
akampa dawa flani na
akamwambia ile dawa
angeweza hata kupiga bao
18 bila kuchoka ila
itategemeana na nguvu ya
binti atakae tembea nae na
akamsisitiza kuwa kutumia
hi dawai binti hawezi
akakuacha hata mzazi
wake akifanyaje kutokana
na dozi atakayopewa. tena
dokta akamuulza kijana
anategemea kuwa na game
lini, kijana akamjibu siku
hiyohiyo baadae kidogo.
hivyo dr. akamsisitiza
kijana anywee hapopo, ili
baada ya lisaa ianze
mambo yake. kijana akatii
na akanywa ile dawa.
baada ya kijana kuondoka
kulikuwa na jamaa mmoja
akawa anmwambia dokta
huyu kijana aliyetoka hapa
huwa anatembea na binti
yako. na wanapendana
sana. dr. akavuta
kumbukumbu binti yake
alimuaga ataenda
kumtembelea rafiki yake
na anategemea atachelewa
au atalala huko kabisa.
ungekuwa wew ndo dr.
ungefanya nn? ukizingatia
viagra aliyonunua kijana
ndo itaende kumtendea kaz
binti yako?
alienda kununua viagra
( dawa za kuongeza nguvu
za kiumea) kwenye duka
fulani la madawa, bac
kulikuwa na docta pale
akampa dawa flani na
akamwambia ile dawa
angeweza hata kupiga bao
18 bila kuchoka ila
itategemeana na nguvu ya
binti atakae tembea nae na
akamsisitiza kuwa kutumia
hi dawai binti hawezi
akakuacha hata mzazi
wake akifanyaje kutokana
na dozi atakayopewa. tena
dokta akamuulza kijana
anategemea kuwa na game
lini, kijana akamjibu siku
hiyohiyo baadae kidogo.
hivyo dr. akamsisitiza
kijana anywee hapopo, ili
baada ya lisaa ianze
mambo yake. kijana akatii
na akanywa ile dawa.
baada ya kijana kuondoka
kulikuwa na jamaa mmoja
akawa anmwambia dokta
huyu kijana aliyetoka hapa
huwa anatembea na binti
yako. na wanapendana
sana. dr. akavuta
kumbukumbu binti yake
alimuaga ataenda
kumtembelea rafiki yake
na anategemea atachelewa
au atalala huko kabisa.
ungekuwa wew ndo dr.
ungefanya nn? ukizingatia
viagra aliyonunua kijana
ndo itaende kumtendea kaz
binti yako?