Hahaha hahaha mbavu zangu hahahaaaaaaaa!

emma115

Senior Member
Apr 28, 2012
135
167
mchungaji mmoja katika
mahubiri yake huwa
anachangamsha sana
waumini
wake,kwa mfano utakuta
katikati ya
mahubiri utasikia
"..Muambie jirani
yako..Yesu anakupenda!"
basi kwa
furaha na mbwembwe kila
mtu
atamuambia jirani
yake,kisha
mchungaji anasema "pokea
upendo
wa bwanaa!"..Sasa jana
mchungaji
alikuwa anahubiri kuhusu
wanawake
wasiopata watoto,sasa
katikati ya
mahubiri akasema
"...Muambie
jirani yako,mwaka huu
utapata
mimba!" bila kujali watu
wamekaa
na nani jirani wengi tulikaa
kimya
kwani unakuta umekaa na
mwanaume mwenzio.Mara
ikasikika
tu mtu kapigwa kofi huko
nyuma
alafu mtoto akaanza kulia
ile
tunageuka tunakutana na
baba
akimwambia mwanae wa
kiume
"..Ukome!".
 
Duh kama nikweli imetokeaga ivi kah kah kah kah kah.
Alafu wapo wa chungaji wanao penda sana hi mtindo eti kama mwingira naye namwonaga ana sema mwambie jirani yako huu ni mwaka wa mafanikio dah sasa hawa wachungaji bana
hapa umetisha mwana waneee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom