Yaliyojiri kanisani kwetu!!

Yaliyojiri kanisani kwetu!!

M.E.M.A

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
1,373
Reaction score
472
Kuna pastor
mmoja hupenda
kuchangamsha
waumini wake
wakati wa
mahubiri kwa kuwaambia
"Mwambie jirani yako
Yesu
anakupenda"
Siku nyingine akawa
anahuburi kuhusu wanawake wasio
pata mimba
akaambia waumini
"Mwambie jirani yako
huu mwaka
utapata mimba" Watu waliokuwa
wamekaa na
wanaume wenzao
wakabaki kimya.
Mara tukasikia
mtu amepigwa kofi huko nyuma
kisha mtoto
mmoja akaanza
kulia huku babake
anamwambia
"Shenzi kisha ukome upuuzi!!"
Kumbe mtoto
alimwambia
babake "utapata
mimba mwaka
huu"
 
Kuna pastor
mmoja hupenda
kuchangamsha
waumini wake
wakati wa
mahubiri kwa kuwaambia
"Mwambie jirani yako
Yesu
anakupenda"
Siku nyingine akawa
anahuburi kuhusu wanawake wasio
pata mimba
akaambia waumini
"Mwambie jirani yako
huu mwaka
utapata mimba" Watu waliokuwa
wamekaa na
wanaume wenzao
wakabaki kimya.
Mara tukasikia
mtu amepigwa kofi huko nyuma
kisha mtoto
mmoja akaanza
kulia huku babake
anamwambia
"Shenzi kisha ukome upuuzi!!"
Kumbe mtoto
alimwambia
babake "utapata
mimba mwaka
huu"

Mimi bado sijaona cha maana,rudi chuo cha sanaa
 
Back
Top Bottom