Leo ni sawa na sikulala;
Kuna kitu nahitaji
ilibidi niumize kichwa sana
japo hadi sasa sijapata suluhu.
Qui! Qui! Qui! Nitaonekana chizi nacheka peke yangu cpati picha maji ya moto yanavyomaliza tatizo hahahaaaaa!!!Maji ya moto pia yameshindwa kusuluhisha?
Leo umeumiza kichwa!
Kesho utaumiza Mgongo , kitafata Kiuno!
Alaf tena alafu tena!
....meza panadol.....Hapana kukiwa na mawinguwingu kichwa huwa kinapata moto
Maji ya moto pia yameshindwa kusuluhisha?
Leo umeumiza kichwa!
Kesho utaumiza Mgongo , kitafata Kiuno!
Alaf tena alafu tena!
lione kwanza, unakurupuka tu bila kujua kwanini nasikia baridi, kwa taarifa yako Arushaone kasafiri ndio maana nikakosa joto maana yeye ndio mtuu wa pekee wa kunitoa baridi.... Upo!?