Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,354
japo nimezaliwa na rangi ya mitume lakini nimejikuta natumia muda mwingi kutumia masabuni na mafuta flani ili nizidi kuwa mweupe..natakiwa nifanye nini ili niridhike na rangi yangu?
si mwanamke huyomwanamke weka hizo nakshi nakshi!!!! hebu tupia fair n' white uje unipe majibu hapa....... ni bei kdg lkn jinsi utakavyopendeza siri yako!!!!
mwanamke weka hizo nakshi nakshi!!!! hebu tupia fair n' white uje unipe majibu hapa....... ni bei kdg lkn jinsi utakavyopendeza siri yako!!!!
kaa ww ni she njoo tuchanganye rangi tutoe kitu ilotulia ila kama wewe ni he mmmmh....no coment
mimi wa kiumeni mzazi!..addiction tu ya kuongeza mauzo
Mauzo mfuko tu Mzazi, hata ukiwa na sura kama kifaru utaitwa handsome.
Achana na ujinga huo utakucost baadaye, hivi bado hamjajifunza kwa marehemu Tx Moshi William?
si mwanamke huyo
mimi wa kiume wangu!mazaga nayotumia naona nang'aa ila vidole vimekataa vinakuwa vyeusi!...nikishindwa kuacha itabidi hiyo fair n white ihusike kinyamwezi!
we me unahangaika na carol dada!!!""" mpyuuuuuuu hebu kazana kutafuta hela..... nyie ndo mnao lia lia ovyo keep in mind mwanaume hasifiwi sura wala uzuri ni pesa yako tu!!!!
pesa nnayo
Hata mimi siridhiki na weusi wangu nataka niwe mweusi zaidi, nifanyeje?
Halafu we kaka muuza sura nawasiwasi na uanaume wako au unaimba ndomboloo!!!????