Wadau wa Mwanza

Wadau wa Mwanza

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Hebu tuambizane pa kuonana, nipo kwa visiku viwili vitatu
 
Pl'se mob. No yako kupitia uani ndiyo rahisisho kukufind.
 
Karibu sana mkuu, saiv bar maarufu ni Lenana Pasiansi
 
Pia Kanisa zuri Bugando (RC) Furahisha (Lutheran)
Msikiti mzuri Rawdha Lumumba Street.
Masjid Ibaadh Liberty street.
 
Wadau kuna yyt ana mjua jamaa mmoja anaitwa chununu! Alikuwa bonge la mtu walikuwa na hoteli inatwa Kunariz pale lumbumba street? Opp ukumbi wa sherehe kama skosei unaitwa pamba au shinyanga something!!
 
Shinyanga hotel iko Karuta street inayoungana na Lumumba na opposite ya Shy hotel kuna Chakechake restaurant. Wanaofaham huyo bwana watakujibu mie nimekusaidia tu
 
Alishafariki mda sasa,nadhani miaka zaidi ya minne imeshapita
 
Shinyanga hotel iko lumumba,si karuta
 
karibu!!! usiache kuondoka na ndoo ya samaki wifi yetu aka enjoy eeenh.....
 
Wadau kuna yyt ana mjua jamaa mmoja anaitwa chununu! Alikuwa bonge la mtu walikuwa na hoteli inatwa Kunariz pale lumbumba street? Opp ukumbi wa sherehe kama skosei unaitwa pamba au shinyanga something!!

Namfahamu sana huyo mtu , but he's no longer with us . (deceased) Takriban miaka miwili na ushee sasa
Ni kweli ulikua hujui?
 
Alishafariki mda sasa,nadhani miaka zaidi ya minne imeshapita

Duhh maskini jamaa yangu chununu!
Mungu amrehemu!
Duhh mkuu umenipa habari imeniskitisha sana!
Nimesoma nae huyo bwana!
 
Ungejua hata sijawahi na sina mpango wa kuonja alcohol 100%, kwan bar ni kulewa tu mkuu?

Teh teh teh jamaa yangu Jerrymsigwa mi nadhani wale wanaosema wanaenda kula nyama tu huko bar! Hio ni gia tu!
Humo ndani chibuku ni muhimu!
Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Namfahamu sana huyo mtu , but he's no longer with us . (deceased) Takriban miaka miwili na ushee sasa
Ni kweli ulikua hujui?

Sina habari mkuu! Mara ya mwisho nilikuwa huko mwaka 2006
 
Okey habari ndy hiyo!
Leo tambua umuhimu wa "social network" ungelijua hili lini?
Walioita "mitandao ya jamii" waliona mbali.
Ipe big up JF !
 
Sio leo tu! Nimeona umuhimu wake miaka mingi sana ndio maana nimo humu ati!
Tuko pamoja mkuu!
 
Back
Top Bottom