JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna siku nilifungua thread ya kutafuta mchumba huko love connect (mkabala na mmu),nashukuru wafuatao walini PM kuniomba uchumba na wengine wakanitupia na picha zao wakiwa kwenye pozi (wakibisha...
13 Reactions
113 Replies
7K Views
Hivi wajua huku whatsApp dada zetu hufanya nn? Yaan ni madudu
1 Reactions
15 Replies
2K Views
A pilot was transporting a bunch of madmen from KCMC Hospital to a psychiatric facility overseas. The madmen were making noise. So, one of them (MANGI) entered the Pilot’s Cabin ; MANGI:Teach...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Facebook kula sasa hivi Niko Twitter pub...nagonga castle lite... Dah nimependa haya majina ya maeneo haya...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
^^Mlevi alipanda daladala. Konda akamuambia, tabia yako ya ulevi huwezi kufika mbinguni. Mlevi akajibu, "kumbe mnaenda mbinguni, nishusheni. Mimi naenda BUGURUNI.....! ^^Bibi alikuwa anafua...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
JWTZ-Jeshi la Wakuria Tangu Zamani CCM-Chama cha Mafisadi SM-Siamini Mgambo ............................ ........................... .......................... ongeza
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Nyingine zinanuka Nyingine haziendani na rangi ya Nguo uliyovaa Nyingine ni chafu ajabu Nyingine zimechakaa zina matobo Nyingine za mtumba Nyingine kama hizo ulizovaa Kama ilivyo kwa...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
There is only one beautiful lady in this world, thats is a Miss from Filipo and she is Miss world now! Na huyu si mwingine ila ni ubavu katika ubavu wangu, nyama katika nyama zangu, nae ni my wife...
3 Reactions
164 Replies
9K Views
Ndugu zangu wapendwa, Nimeona litakuwa ni jambo jema ikiwa tutafanya mpango wa "kuorganize" shindano la kumtafuta Miss JF. Kama mnavyojua "JF is the Home of Great Thinkers", pamoja na...
6 Reactions
137 Replies
7K Views
Ndugu mteja umeunganishwa kwenye kifurushi cha SUPER CHAI. sasa una maandazi 100,sambusa 15,kalimati 10,mayai 20,chai vikombe 15,supu ya ng'ombe pamoja na MB 50 za sukari,ndimu,pilipili,chumvi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tumeenda kusalimia kijijini Njelenje (Mbeya vijijini) ukweni. Watoto wametumwa watushikie kuku. Wakaanza kumtoa baruti. Wakati huo huo mtu niliyeongozana naye kaomba kuingia washroom yupo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mi ukiniwekea ugali wa muhogo na mlenda nishushie na togwa,mbona unakuwa umenikumbusha mbali.
0 Reactions
103 Replies
9K Views
Katika kijiji kimoja palikuwepo mganga mmoja mashuhuri sana. Alifahamika kwa namna ambavyo aliweza kuwatibu wagonjwa, kutabiri, na hata kutatua migogoro iliyojitokeza kijijini. Siku moja walikuja...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Je ukigundua unadanganywa utafanyaje?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Daudi Kabaka - Msichana sura Nzuri - YouTube
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Cheka kidogo.... Basket mouth Stand up part 1 - YouTube
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakaka na wadada wa jf najua mnapenda kupendwa wadada msikubali kuwa na wa2 mnaowapenda zaidi ya wao wanavyowapenda au mnasemaje jamwni navojua mimi kupendwa raha!:car:
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Muuza samaki; samaki samaki samaki Mteja; bei gani? Muuza samaki; 5000/= Mteja; mwisho? Muuza samaki; mkiani Mteja; mbona kalegea? Muuza samaki;baharini alikuwa shoga...!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
JOB VACANCIES: Human Resource Officer, Financial Officer, Marketing Officer, Bank Opperators & accountants are highly wanted! starting salary $3000 per month..! SEND UR CV NOW to HR. m23@yahoo.com...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom