Watoto wa kijijini nouma!!

Watoto wa kijijini nouma!!

okon

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2008
Posts
305
Reaction score
92
Tumeenda kusalimia kijijini Njelenje (Mbeya vijijini) ukweni. Watoto wametumwa watushikie kuku. Wakaanza kumtoa baruti. Wakati huo huo mtu niliyeongozana naye kaomba kuingia washroom yupo anajisaidia, mlango gunia. Watoto wametoka sambamba na kuku ile mbaya, kuku kakimbilia chooni alipo mshikaji wao wanaye tu. Jamaa anashangaa lundo la watoto wako chooni. Kainuka fasta kamdaka kuku, katoka amemshika kuku mkono mmoja mkono mwingine kashikilia suruali. Mie mbavu sina!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom