love connect nashukuru kwa kuniunganisha na.........

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,140
Kuna siku nilifungua thread ya kutafuta mchumba huko love connect (mkabala na mmu),nashukuru wafuatao walini PM kuniomba uchumba na wengine wakanitupia na picha zao wakiwa kwenye pozi (wakibisha nitazimwaga hapa ,tena wengine walisalula). Wote msiwe na majotroooo maombi yenu bado ninayafanyia kazi,nitawajibu punde nikitoka safarini Marekani. Oloza ya wote walio aplai ni hii hapa: (Atakayebisha naanika PM yake): Lady doctor, Husninyo, Zion Daughter, amu, shansarie, Heaven on earth (huyu aliweka na poda kwenye PM yake), cacico (kasema nisimwambie Asprin) , Chocs na of course Arabela.
Mwenyekiti Baba V nitakujuza kinachoendelea. Judgement na Vin Diesel stay out of this vinginevyo......... zubedayo mchuzi kaza buti kwenye kibarua nilichokupa cha ubodigadi........nyakanga gfsonwin jiandae kumfunda mwali nitakayemtunuku na kumhamishishia jobegi akaishi huko, Erickb52 kuanzia leo kazi ya udereva nimekufukuza you are out!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha!! wife wangu unamsingizia.. we ndiyo ulimwomba akakutolea nje..
kumbuka!!
 
Kwanza chupuchupu yako ni kwa kutokuwepo jina la "Malkia wa Nyuki" (toka Tanga) ktk hao uliowamesheni !
Hivi mtu anaweza kum'aplay "KiwaviJeshi" ?
Afu Bishanga staki mazoe na Husninyo ! Tena mkome! Hujui naweza kurudisha majeshi wkt wwt!
Ohooo!
Ngoja kwanza nimalize kujinyoa!
Afu nikurudie!
Sijui unavurugwa na nani siku hizi Mushaija!
 
we mzee tusichafuliane cv, ooohhhooo!
 
Kwanza chupuchupu yako ni kwa kutokuwepo jina la "Malkia wa Nyuki" (toka Tanga) ktk hao uliowamesheni !
Hivi mtu anaweza kum'aplay "KiwaviJeshi" ?
Afu Bishanga staki mazoe na Husninyo ! Tena mkome! Hujui naweza kurudisha majeshi wkt wwt!
Ohooo!
Ngoja kwanza nimalize kujinyoa!
Afu nikurudie!
Sijui unavurugwa na nani siku hizi Mushaija!

rudi bana, mpaka unikute na mimba ya mapacha jamani! i mith yu.
 
Lengo lako tushalijua na tunakupotezea kama ifuatavyo...........................................:shut-mouth: :shut-mouth::shut-mouth:

COPY: Lady doctor.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza chupuchupu yako ni kwa kutokuwepo jina la "Malkia wa Nyuki" (toka Tanga) ktk hao uliowamesheni !
Hivi mtu anaweza kum'aplay "KiwaviJeshi" ?
Afu Bishanga staki mazoe na Husninyo ! Tena mkome! Hujui naweza kurudisha majeshi wkt wwt!
Ohooo!
Ngoja kwanza nimalize kujinyoa!
Afu nikurudie!
Sijui unavurugwa na nani siku hizi Mushaija!

tena nilisahau na YNNAH ali apply tena nasikia kabla hajapost PM yake keyboard aliipeleka kwanza kwa babu makorora 'isafishwe' chezeiya wewe YNNAH kwa mahusiano ya karibu na wazee wa busara.
 
Last edited by a moderator:
:behindsofa::behindsofa:

Sijui mwallu nikushkuruje kuniletea haya makochi!
Wee Bishanga njoo sasa nikuoneshe .
Kwenye kochi kama hilo la juu ndipo nilipomzawadia Husninyo uja-uzito wake wa kwanza!
Niite "Joka la makochi" hilo la kibisa endelea kulitafuta!
 
Last edited by a moderator:
Hubby wangu Asprin asije huku, maana nimepikiwa jungu la kumalizana na issue ya westgate!
 
Last edited by a moderator:
tena nilisahau na YNNAH ali apply tena nasikia kabla hajapost PM yake keyboard aliipeleka kwanza kwa babu makorora 'isafishwe' chezeiya wewe YNNAH kwa mahusiano ya karibu na wazee wa busara.

Wewe sio bure! Kuna mtu "anakuvuruga" kwa siri !
Huyo YNNAH wako atakua yule wa TBC !
YNNAH wangu yu'akutambua kama wewe "mwezi mchanga"
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom