Kutoka Facebook kiosk hadi Twitter Pub ...

Kutoka Facebook kiosk hadi Twitter Pub ...

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
47,530
Reaction score
101,645
Facebook kula sasa hivi Niko Twitter pub...nagonga castle lite...
Dah nimependa haya majina ya maeneo haya...
 
Ankal umenitenga sana bana. Hizi nyagi huwezi maliza peke yako anko.

ankoo tuonane..bhana "tu tii kiu yetu"....nilipoteza simu kwny hivi vikao vyetu...hebu tupia SMS tupange...mikakati. ..ijumaa leo
 
ankoo tuonane..bhana "tu tii kiu yetu"....nilipoteza simu kwny hivi vikao vyetu...hebu tupia SMS tupange...mikakati. ..ijumaa leo

Poa. chapchap sana.

Hawa wenye simu zao wanatutesa sana. Tukibwia mitungi wanachukua simu zao kilainiii
 
Lazma wakati ukiwa seminare ulikuwa unaiba mvinyo chirch. Kwani wewe ulipozaliwa huko maternity ward, walikudumbukiza kwenye pipa?

Eish!!! Na huku ushakuja? Ngoja nisepe niwahi jukwaa la wakubwa. Ukipita na kule ntaenda kukusemelea kwa mama.
 
Back
Top Bottom