kipi raha jamani kupendwa?kupenda?

kipi raha jamani kupendwa?kupenda?

Ney maa

Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
95
Reaction score
34
wakaka na wadada wa jf najua mnapenda kupendwa wadada msikubali kuwa na wa2 mnaowapenda zaidi ya wao wanavyowapenda au mnasemaje jamwni navojua mimi kupendwa raha!:car:
 
Umeanza tena Mpwa? kha, natamani tukutane nikupe somo taraaaatibu kabisa, hongera unachangamsha sana jukwaa
 
^^
Kuna kupendwa ila mkapendwa wengi kwa wakati mmoja bila wewe kujua,,vipi hilo limekaaje?
^^
 
kupendana ndo raha,

unaweza pendwa usipende ni kero,
unaweza penda usipendwe fedheha utajikosha kosha mwishowe utaishia kudhalilika tu.
 
Kila kitu kina RAHA na KARAHA. Inategemea wewe utachukua upande upi..
 
mi napenda kupendana
nimpende anipende
apo raaha mustarehe
 
Back
Top Bottom