Je unajua kuwa 2 = 1?
Wataalam wa hesabu tunasema kuwa kama x=y
basi 2x=2y
kwahiyo 2x-x = 2y-y si sawa?
Maana yake ni kuwa 2x-2y = x-y hapo hakuna ubishi naamini.
Hii ni sawa na kusema...
Kuna kajimtihani kadogo,umeenda dukani kununua sukari kilo 1 lakini kwa bahati mbaya mwenye duka hana jiwe la kilo moja lakini ana jiwe la kilo 10 na la kilo 7.Swali atafanyaje ili aweze kukupimia...
Mara yako ya kwanza kujua kama kuna mtandao wa kijamii(Jambo/JamiiForums)ilikua wapi?
Ulisimuliwa au uliona Tangazo au ilikuaje mpaka ukafika HUKU?
Mimi binafsi niliijuwa kupitia Mwanahalisi...
Watu wengi sana hapa wanaogopa kufunguka. Mimi naweza,
Hivi ndivyo vitu tatu navipenda sana.
1. Reggae Music
2. Colour ya blue
3. Computers and technology stuff
Nani mwingine aweza 'dare talk...
Jamani hawa wenye simu za blackberry wanakera kweli facebook. Unakuta mtu eti pin yangu 7c....ni add, so what?????
Achaneni nazo, njooni huku ios7 muone ilivyo bomba!
Jamaa mmoja kutoka mkoani singida, aliungana na wenzake kumi kuelekea Bukoba kwenye mkutano wa vijana,
Walipofika huko waliwakuta kina Muganyizi na byarugaba wakioga kwa bomba a.k.a maji ya mvua...
Mfugaji mmoja alikwenda kwa mfugaji mwenzake (ambae pia ni bwana mifugo wa eneo lao) asubuhi moja. Alipobisha hodi mtoto wa kiume wa umri upatao miaka 12 akamfungulia mlango. Mazungumzo yafuatayo...
Ni game ya kiushkaji matusi no matani zaidi... natoa sentesi ya matani neno la mwisho unaanza nalo wewe kisha utakalo maliza ataanza nalo mwenzako...wa mwisho ndo mshindi... oke lets go-->
sura...
Jamani nampenda King'asti, King'asti kama kweli unampenda Paw mwambie anipe ban ya mwaka nihakikishe kwa macho yangu Paw kama upo tayari kutumia cheo chako cha mod kuniban basi poa tu nipe ban...