Mwaka 2003 niliwahi kuishi kwa muda wa kama miezi 7 katika kijiji kimoja pembezoni mwa wliaya ya Biharamulo nikiwa mimi na rafiki yangu.Kabla ya kwenda huko tulihadithiwa na mmoja wa watu walioshi...
"Naondoka nakupigia cm yangu, utaki kupokea"
"poa ukijisikia kunijibu utajibu"
"kwa hiyo kunijibu kwako ni shida"
"jana ulikuwa unaongea na nani wakati napiga simu"
"poa maisha mema"
"ok poa fanya...
Napenda kuchukua fursa hii kutoa shukrani zangu za dhati kwa Fixed Point, farkhina, Nivea, snowhite, Ablessed, zumbemkuu, Dr measkron, Rocky, KOKUTONA, Heaven on Earth, Arushaone, Chocs, Watu...
Ninajua wengi wenu mlishawahi kusikia neno hili , ambavyo ndugu zetu hasa wa kutoka mkoa wa Kilimanjaro , walivyokua wakilitumia neno "Adjust" kwa fujo ku'cover maeneo mengi ya maneno mengine ...
Jf kiujamaa zaidi(radioni na magazetini wanafanya sana), mtumie salamu mwana Jf kwa kum-mention na kumpa ujumbe...na wewe ukiona mtu ameku mention usiuchune..there we go
Padre mmoja akiwa kwenye gari alisimamishwa na Trafic Police,police akiwa anahitaji rushwa alianza kuuliza maswali mengi, mara mbona gari lako linatoa moshi mwingi? mbona gari lako matairi...
Kikombe hiki cha machungu ya mgao wa umeme , eee Mwenyezimungu tuepushie .
Leo Mwanza City imekosa power zaidi ya 30hrs !
Nimekosa specific name huu mgao niupe jina gani ?
Kwengineko nimeuita...
Kikombe cha kahawa ya maziwa (Nido), sambusa za nyama 3, mayai 2(spanish) na glass ya juice(passion + mango) na fruit salad
Hapo hata mchana ukipita wima...! Hutetereki!!!
Hamjambo?
Leo nikiwa maeneo ya mwenge niliona watu kadhaa wakiwa wamekusanyika, walikuwa kwenye mhadhara, mhadhara wa kidini.
kilichonisukuma kuleta uzi huu ni jinsi ambavyo mtoa mada...
Naomba kwa wale ndugu zangu wapare na wachaga no bias plz kat ya haya makabila mawili ni kabila lipa wanapenda sifa za kjinga kuliko wengine ....kwa mfano mkiwa nje ya klm wote wote mnasema...