What a superb breakfast..!

What a superb breakfast..!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Kikombe cha kahawa ya maziwa (Nido), sambusa za nyama 3, mayai 2(spanish) na glass ya juice(passion + mango) na fruit salad

Hapo hata mchana ukipita wima...! Hutetereki!!!
 
Supu ya kichwa cha mbuzi na maji ya kilimanjaro chupa kubwa,then tusker bariidi mbili halafu mdogomdogo kwa ofisi
 
Supu ya kichwa cha mbuzi na maji ya kilimanjaro chupa kubwa,then tusker bariidi mbili halafu mdogomdogo kwa ofisi

Au mtori wa moto, chapati mbili, pepsi barrrrrdi na uhai chupa kubwa
 
pale kahawa na maziwa, jumla ya sandwich aliyotengenezwa na mama mtu, na juice ya mango, saaafi karibuni baasi!
 
Back
Top Bottom