Mwizi wa sambusa na polisi

Mwizi wa sambusa na polisi

Wisest man

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
993
Reaction score
333
Jamaa mmoja alishikwa akiiba sambusa, akaambiwa"sambusa utalipa na polisi utaenda" jamaa akajibu"sambusa siendi na polisi silipi"!!!
 
ingekua vitu vidogo namana hiyo tunafunga watu huko magereza kungejaa maana hata wewe ulie weka huu uzi ungeshakamatwa
 
Back
Top Bottom