JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakubwa nafikiri niliwahi kuweka bandiko hapa kwawanaokumbuka wakati naenda kuanza chuo mwaka 2011. Yaah namshukuru mungu mwakani naweza kugraduate na mimi nikachukua kadiploma kangu ka civil...
0 Reactions
4 Replies
901 Views
Ni misemo ambayo huwa tunaelewana sisi tu wa ofisi moja, wa kuja huwezi kuelewa... Kwa mfano ukisikia kuratibu tunamaanisha ku-do , na wewe share swaga za ofisini kwenu tu enjoy pamoja..
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wageni wengine noma. CHEKI HIII... MWENYEJI; Utakunywa soda au chai? MGENI; Ntakunywa soda wakati nasubiri chai ichemke! MWENYEJI; Hapa kuna sprite na coca nikupe ipi? MGENI; Nipe...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Nipo Moshi for weekend holiday...Wanna hang out..?
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Jamani kwa nini mitandao mingine ya kijamii itushinde Wakati sote twaipenda JF? Mpigie kura Lady Doctor ili ashinde taji la Miss JF ChitChat pale Ubungo Plazza siku ya tarehe 12 mwezi huu. CC...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Yani leo imekaa vibaya mno.. ukiingia jukwaa la Siasa au habari mchanganyiko unaweza kupata life ban hivi hivi Yani kuna michango ya kicengel mno leo kule..! Yani unaweza kukibonda kisim...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
A Nigerian man and white American guy were seated on plane. The Nigerian man had to a bunch of banana, while the white American guy had a pet monkey. The Nigerian man wanted to use the...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Dada huyooo hajaolewa x2 Mahariii tumeshakula x2
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waungwana, Leo ni Tar 15 wengine tulishalizaga salary zamani. Leo nina hamu sana ya windhock from Namibia. Nyie wanaume wote nitakosa wakunitoa leo kweli? cc Filipo Kaizer figganigga @bagger
1 Reactions
25 Replies
2K Views
''SERA YA MAPENZI" MIAKA YA: 1986-1990. NIMEKUBALI ila usimwambie mtu..! MIAKA YA: 1991-1995. NIMEKUBALI lakini namwogopa Baba na Mama watajua..! MIAKA YA: 1996-2000. NIMEKUBALI lakini sitaki...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi mtoto ni wa BABA au ni wa MAMA? Cheki kisa hiki.... Mume alimpa mkewe talaka wakaenda mahakamani ili HAKIMU aamue nani akae na mtoto! MUME; Akasimama akauliza hivi "Hakimu hivi nikichukua...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Note : Story ni ndefu kiasi , kama una haraka kula kona . Ni imani yangu wana wa bodi , wadau mko poa kifizikali , kispiricho , kifainensi etcetera . Baba Shani na Mama Shani wameishi ndoani...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Hivi majuzi wanaohusika na media walitutangazia kua Fundi mmoja wa Tanesco , akiwa ktk majukumu yake ya kazi maeneo ya Kigamboni , aliripukiwa na Transfomer. Na kwamba kilichofatia Fundi...
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Application for employment: "Dear sir, I refer 2the recent death of the technical manager at your company & wish to apply 4the replacement of the dead manager. Each time I apply the...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
............. ................. .....................Mrembo Mwali takribani week sasa umekua ukionekana katikati ya ndoto zangu........na unanichanganya pale unapokuwa umevaa mavasi ya kibantu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nililala nikaota mtu anasema eti Tanzania imetokana na Tanganyika na visiwa vya Zimbabwe na Pemba nikashangaa sana maana sikutegemea mtu kama yule kwa nafasi aliyo nayo katika mtaa wetu. Ndoto ya...
1 Reactions
115 Replies
22K Views
CHEZEA PANGA WEWE!!?? Jamaa1 aliingia msikitin na panga mkonon huku jasho likimtoka, akauliza"nani muislamu humu ndani? Wote wakauchuna. Jamaa akurudia tena "nauliza nani muislamu humu au...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni kwa neema tu, Salam wakuu. Leo kwa mapenzi mema ya Mwenyezi Mungu, hatimaye basi nami nakua natunukiwa shahada yangu ya kwanza pale Karimjee Hall. Japo nimechelewa kutokana na umri (LOL)...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Jamani hiyo kigambon haiuzwi tu au ndo wamegoma kuinunua....!!!!
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…