Shemeji yetu badili gear , hiyo imeshakua common !

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Shemeji .
Sisi familia still yet tunakutambua wewe ndiyo mume wa dada yetu .

Pamoja na hilo Shemeji , umekua ukimtesa mno dada yetu , na ukware wako .
Mara kadhaa mkeo katuletea mashtaka yako ya ukware , tukakaa vikao na mkeo aka'submit ushahidi uliokubana kila idara , na unakosa pakuchopokea .

Kinachotuskitisha Sie familia ya mkeo , badala upangue hoja ziletwazo vikaoni na mkeo , wewe unasambaza habari kwa ndugu , majirani , marafiki, eti Dada yetu na sie tunakunyanyasa na kukudhalilisha eti kwa vile wewe na mkeo mnaishi ktk moja ya nyumba ya familia yetu .

Shemeji wewe kuishi kwenye nyumba yetu na mkeo , kunahusiana nini na umalaya wako?
Ukafanye uasherati huko , kisha mkeo akuheshimie ? Eti usiguswe !
Ukiguswa tu , kosa! Unanyanyaswa!

Shemeji hiyo defence mechanism tumeishaichoka!
Hebu badili gea (sio Gea Habibu) mpya !

Shemeji hukui ? Au mpaka utuulie Dada yetu ?
Jirekebishe Shemeji !
Acha hizo .
 
Hapo kwenye umalaya muulize dada yawezekana yeye hatimizi wajbu wake ipasavyo kwa mshkaji.

Nimeipenda hiyo ya dada kumuoa kidume.acha aseme ananyanyaswa ni haki yake kufugwa kazi siku kikinuka mfuko wa rambo unamhusu.kazi ipo
 
Huwa mimi siingilii ugomvi wa dada na shemeji.

Walikoanzia sikuwepo, nawaachia vituko vyao.

.
 
Mmmh!
Uwe na Shemeji dizaini Gabriel Munisi !
Anamiliki kizeze kidogodogo , akam-sharifu-shamba ! Dadaangu!
Bado siingilii !
Damu nzito!
 
Mkuu Judgement let the Man(Gab) Rest In Peace
 
Last edited by a moderator:
Kidogo nifikiri nasemwa mimi. Ila siishi ukweni. Kwa kifupi sijaolewa.
 
Hapo kwenye umalaya muulize dada yawezekana yeye hatimizi wajbu wake ipasavyo kwa mshkaji.

Nimeipenda hiyo ya dada kumuoa kidume.acha aseme ananyanyaswa ni haki yake kufugwa kazi siku kikinuka mfuko wa rambo unamhusu.kazi ipo

Nimekusoma mkiva .
 
Last edited by a moderator:
Afu Judgement funguka na mtaje huyo shem hapa kama ni JF member. Vinginevyo kama siyo member utakuwa unavunja sheria za JF kwani hawezi kujitetea humu.
 
Kiongozi Arushaone , siwezi kupiga mluzi nikiwa na Karanga mdomoni haiwezekani !
Na ndivyo haiwezekani nilete karipio humu , kumhusu mtu ambaye hana access ya kufika humu .
Aidha nachelea kumchana , itakua kama nime'use Kifaru (tank) ku'attack bajaji .
 
Last edited by a moderator:
Kidogo nifikiri nasemwa mimi. Ila siishi ukweni. Kwa kifupi sijaolewa.

Mbaali kabisa !
Mlengwa hapa ni Shemeji wa kiume! Hana sifa ya kuolewa , ana sifa ya kuoa !
 
Kiongozi Arushaone , siwezi kupiga mluzi nikiwa na Karanga mdomoni haiwezekani !
Na ndivyo haiwezekani nilete karipio humu , kumhusu mtu ambaye hana access ya kufika humu .
Aidha nachelea kumchana , itakua kama nime'use Kifaru (tank) ku'attack bajaji .

Aisee!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ndoa za kuiga zina tabu kweli

Ni hivi shansarie chukua mf.
Wewe na kiwatengu muwe mnaishi kwenye nyumba inayokuhusu ww.
Kisha itokee siku umefumania msg ktk simu yake , inayosoma :-
"mpenzi nimeshafika guest ileile ya siku ile , kanipa room 204 , afu dia uje na Kuku na chips , ila wasiweke yale matomato yao , chukua na malta ."
Then wewe shansarie hukurupuki ! Unaminya ili ukamate kitu kamili , pia inakupa taabu kuijua gest husika , coz haikutajwa jina zaidi ya neno "ileile"
Muda mchache baadae jamaa anakuaga , nawe unaamua kumfuatilia kimafya .
Bahati njema anakata mitaa mitatu hivi , anajitoma guest na ww unazama humo.
Varangati/timbwiri vinatokea .
Kisha unamshtaki kwa wanandugu .
Ndipo anashusha neno "mi sijafanya kitu , ispokua haya yote ni manyanyaso ya mke wangu coz nakaa hapa kwao"
Inahusu ?
Nakuuliza shansarie !
Mtu akazinzike na mauzinzi yake , afu umchunie !
Ndy iko hivyo procedure ?
Note : matukio ya wewe kumkamata kunako network ya uasherati yanakua mengi , na kila tukio utetezi wake ni huohuo!
Habadilishi kipya .
 
Yaani hapo hata siiti kikao cha wanandugu narudi muda huohuo nyumbani kabla hajatoka huko guest wala sitaki anione natafuta gari nakusanya kila kilichochake nampelekea pale guest akiwa na hawara yake tena nikiwa na mashahidi. Hapo tunakuwa tumemalizana wala sileti fujo yann kujipa majeraha khaaa
 
Una miakili sana wewe!
Ndo-maana Li kiwatengu hasikii la muadhini wala la anaenadi!
Kafa , kaoza , lachilachi , tepetepe , thopethope!
Chezeiya second winer miss c.c weye!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom