Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Marekani wakagundua kifaa cha kugundua wezi. Kikapelekwa Ufaransa ndani ya dk 15 kikabaini wezi 50. China dk 35 wezi 60.Brazili kwa saa 1 ikabaini wezi 150. Sasa kikafika bongo ndani ya dakika 5 tu ikaibiwa mashine yenyewe na haikupatikana tena.Nchi gani inaongoza kwa wizi?