Umeme hauna "kiuno" lakini kwa kukatika balaa!!

Umeme hauna "kiuno" lakini kwa kukatika balaa!!

Mi nadhani mie ndo unanikatikia kuzidi anavyokatika Funza wa chooni !
 
Mi nadhani mie ndo unanikatikia kuzidi anavyokatika Funza wa chooni !

Umenifanyia kitu mbaya. si unajua baada ya uchovu wa hapa na pale huku namsubili mwandani kwa hamu, kafika vizuri ukiachana na mapokezi ya hapa na pale huku tukasubiria umeme urejee baada ya kukatika asubuhi

Kama kawa kibwagizo cha HUOOO kikatawala kitaa sasa ukawa muda wa kunako raha za hisia ile mambo yanakolea tu kitu kikakatika tena.. sitaki kuelezea nilivyohuzunika..
 
"Umeme umerudi?"
"Haloo wenzetu huko umeme mnao? Sie huku tangu asubuhi hatuna"
"Nataka kuchaji simu mna umeme"
"Baba maji hayatoki - siku zote nawambia mkiona umeme hamna na maji hamna"
"Ndiyo umefata ile Cd? Itabidi uje baadae umeme ukirudi , ulikatika cd ikiwa ndani ya deki"
 
Jamaa utadhani wametoka mafunzoni kwa kuswitch off/on
 
Back
Top Bottom