Tukio zima kwa yaliyojiri pale Leaders club wakati p square walikuwa wakipafomu>>P SQUARE KATIKA TUKIO LA LEADERS CLUB(PICHA) - bkuHABARI
Habari iliyoko kwenye hiyo link imejaa neno ' kuweza'. eg Diamond aliweza kuzomewa kwa uvaaji wake. Namhitaji mwandishi wa hiyo habari nimfundishe Kiswahili.Tukio zima kwa yaliyojiri pale Leaders club wakati p square walikuwa wakipafomu>>P SQUARE KATIKA TUKIO LA LEADERS CLUB(PICHA) - bkuHABARI