Kuna mdada wa Dar sister duh kichizi anaitwa lara 1 alienda Mbeya akaonyeshwa shamba la viazi mviringo.....akaambiwa zile chips mnazokula Dar zinatokana na hili zao........Mdaa akohoji........KWA...
Sijui usiku wa leo patapambazuka salama...........
Wakati mwingine sisi viumbe wa kiume tunapambana na mitihani, tena mitihani yenye mashaka makubwa......
Naomba msije mkanihukumu, lakini...
Jamaa walikuwa wanacheza mpira. Kwa bahati mbaya mchezaji mmoja akaanguka na kuzimia. Refari alikuwa mzungu lakini wachezaji wote ni waswahili. Mchezaji mmoja akataka kumwambia refari (Mzungu)...
wakuu nilikuwa naomba kujua hapo mjengoni huwa ndo chakula cha hawa viongozi wetu kinapikiwa hapo au muda wa msosi ukifika hutoka nje na kwnda kwny hotel ya jirani?kwa aliyewahi kufika pale...
Unajua ushamba tunazidiana, lakin mimi ni zaidi yako, eti toka nizaliwe sijawahi kuona wamasai wamebeba jeneza ya mwenzao wakiwa wanaenda kuzika, vipi ww mwenzangu unayejiita mtoto wa mjini...
anadai anataka mchumba kama unavigezo vifuatavyo kwanza awe hajawahi kusex pili awe ni masikini kwani hapendi karolaiti ila uwe jasili anachuchu kubwa kama tikiti
Salaam wakuu,
Nipo huku kawe ukwamani kuna mama mmoja anaitwa mama upinde hua jioni anauza uji mmoja wa ngano aisee ni matata sana ukiunywa huachi. Sasa nipo kwenye benchi na wazee fulani hapa...
Za jioni wakuu,
Nimekua najiuliza kwa muda mrefu sana myths mbalimbali zinazo surround kifo. Kweli katika mambo ambayo Mungu wetu alituficha ni hilo. Kuna wengine wanatheories zao wakisema at...
Salaam wakuu,
Za muchana? How's the weekend? Huku kwetu mpigi magoe ni kwema tu.
Sasa wakuu, kitu kimoja. Nimekua nikiona kwenye movies katika romantic scenes na hata kwenye some of the music...
Good afternoon madam,
Dont be offended, ofcourse am kidding! Salaam wakuu, kwa hakika mambo ya unyunyu ni unisex maana kila mtu anapenda kunukia vizuri tu. Sasa katika maswala ya categories za...
x mass inakuja wale wanaume kwa wanawake mlio zoea kupewa tu na nyie mjifunze kutoa jamani
hata kizawadi kidogo kwa mwenzi wako au nduguyo mara moja kwa mwaka sio mbaya acheni uchoyo.
inapendeza...
Wakati Tanganyika ikisherehekea miaka 52 tangu kuzaliwa kwake, naye huyu gwiji wa Duru za Siasa humu JF Nguruvi3 anatimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa siku ya leo.
Mwenyezi Mungu akujalie maisha...