Unatumia Smart Collection ipi? (Kwa Makabwela wenzangu)....!!!!


donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,632
Likes
5,671
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,632 5,671 280
Good afternoon madam,
Dont be offended, ofcourse am kidding! Salaam wakuu, kwa hakika mambo ya unyunyu ni unisex maana kila mtu anapenda kunukia vizuri tu. Sasa katika maswala ya categories za minukio, here am talking bou' body-sprays.
Body sprays zipo za aina nyingi sana na prices zina range tofauti maana nimeambiwa kuna hadi body spray za laki tano pesa taslim. Sasa kuna wale wenzangu na mimi ambao tunapenda tu kunukia fresh na sisi japo kwa low cost kidogo. Ndipo tunapoangukia kwa mkombozi wetu Smart Collection. Kwa buku tano tu, unaweza ukafanania angalau harufu na hiyo nyingine ambayo wanakua wamejaribu kucopy na kupaste.
Sasa si unajua kila mtu ana aina yake ambayo anaipenda mwenyewe? Lucchese personally natumiaga zangu Smart Collection No.40- COOL WATER FOR MEN na Smart Collection No.52 - L'EAU D'ISSEY (ISSEY MIYAKE) POUR HOMME.

So, wewe unatumia ipi? #LazyAfternoon
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,356
Likes
80
Points
145
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,356 80 145
Mmh!
Hii kwa sisi tulio huku Matombo kwenye kilimo cha pilipilimanga , twaona maruweruwe!
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
31,842
Likes
5,201
Points
280
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
31,842 5,201 280
ah.... kwetu hamna haya mambo....
 
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,632
Likes
5,671
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,632 5,671 280
Hahah wakuu inamaana huko hata cobra hazipatikani?
 
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,062
Likes
8,287
Points
280
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,062 8,287 280
Zamani nlikuwa natumia cool water for men ila zikaja kuchakachuliwa ikawaje sijui.
Nikahamia rasasi admire ha ha ha siku nlipogundua VS chocolate sijahama ng'oo nanukia chocolate chocolate tu
 
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,632
Likes
5,671
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,632 5,671 280
Zamani nlikuwa natumia cool water for men ila zikaja kuchakachuliwa ikawaje sijui.
Nikahamia rasasi admire ha ha ha siku nlipogundua VS chocolate sijahama ng'oo nanukia chocolate chocolate tu
Hahah mkuu ebu nipe siri ya VS chocolate, nayo n ismart collection?
 
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
14,903
Likes
4,079
Points
280
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
14,903 4,079 280
heeee kwani huogagi? hayo makitu ya nini tena?
 
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
14,903
Likes
4,079
Points
280
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
14,903 4,079 280
Wewe utakuwa unatumia ukoko wa ugali au maji ya mchele
ha ha ha ha! ukweli mwingine bana..
by the way..hivi kuna smart juice?
hapo tutaenda sawa.
 
B

biee

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2013
Messages
332
Likes
65
Points
45
B

biee

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2013
332 65 45
Kuna hyo sex men...
Naipendaje jaman...
 
Honey Faith

Honey Faith

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2013
Messages
15,844
Likes
5,769
Points
280
Honey Faith

Honey Faith

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2013
15,844 5,769 280
mie huwa napaka mafuta ya rays nanukia tu vizuri
 
Sweet potato

Sweet potato

Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
60
Likes
19
Points
15
Sweet potato

Sweet potato

Member
Joined Nov 14, 2013
60 19 15
amu tujuze bei ya VS. na2mia smart pure poison lkn washachakachua
 

Forum statistics

Threads 1,251,559
Members 481,767
Posts 29,776,005