Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,677
Last edited by a moderator:
Wasafwa noma, hasa wale wa IziwaAlishangaa vipo ki ajabu ajabu tu.. Hajui wenzie wasafwa wanatoka milimani na debe la viazi anauza mjini buku jero afu ananunua chipsi za buku anarudi nazo home...
Pale nilipo lazima nawe uwepo.
Pale nilipo lazima nawe uwepo.
Hata maandiko yanasema , hazina yako ilipo ndipo moyo wako utakapokuwepo
Baba v mnawaonea sana wasafwa nilivyofika mbeya nilipewa hiz story kuusu wasavya
1.Kuna msafwa alipewa lift ya gali na jamaa mmoja hiv kutoka Iringa had uyole bure.Walivyofika uyole msafwa akasema asante nashukia hapa,jamaa akamuuliza unakaa mbali na hapa? Yule msafwa akamjibu hapana,Mwenye gali akamwambia samahani gali yangu naona imeishiwa maji naomba kaniletee akampa kidumu cha lita 5..msafwa akamwambia hela ipo wap? Mwenye gar akamuuliza yanin? Msafwa akajibu maji kwangu huwa sitoi bure
2.Inasemekana wauzaji wa mbogamboga pale Kabwe(sido) zikabaki huwa wanazitupa kule Airport na ili watu wasiokote huwa wanazikojolea kabisa
Hizi story kwa msaada wa Mnyakyusa wa Tukuyu
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Wasafwa siku hizi wameendelea, kila msafwa na bodaboda na punda
si unajua kila mtu mjanja kwenye mazingira yake..........
Kama ingekuwa kwenye soka ni CHAMA na MOGELLA................. kuna kawimbo tunaimbaga kwenye kwaya kanasema hivi
...........pale ulipo nami pia niwepo.........
Wachezaji hao walikuwa na skillz sawa na za kina Messi, ligi inaishi mtu amesha cheka na nyavu mara 56 sio siku hizi kina ngasa wanafunga tugoli tuwili tu ligi nzimaKama ingekuwa kwenye soka ni CHAMA na MOGELLA..........
baada ya hapo kapotea.....hao jamaaa kila msimu mchezaji alikuwa na goli zake za kutosha hata kama sio mfungaji bora wa ligi....Wachezaji hao walikuwa na skillz sawa na za kina Messi, ligi inaishi mtu amesha cheka na nyavu mara 56 sio siku hizi kina ngasa wanafunga tugoli tuwili tu ligi nzima
Hahahaaaaaaaaaaaaaa! Ningekuwa mtu wa kusini ningekuwa MKINGA i guess, coz those MF are indeed fast and smart