Je wewe kama mtumiaji wa Jamii Forums unapenda kutumia kiolesura cha mtumiaji kipi kati ya vifuatavyo
1
2
Au 3
Binafsi napenda kutumia namba 3 kwa sababu rangi yake haiumizi sana macho...
Hahahaaaa😂😂
Mambo mengine inabidi tu ucheke hata kama yanasikitisha.
Hapa mtaani Kwangu Jijini Dar nimekutana na Mwanadada akihangaikia matibabu yake baada ya kushindwa kuongea na kutamka vizuri...
Huwa nashangaa mtu anaumri mkubwa halafu ni fukara wakati nipo Mimi mtoto mdogo tu miaka 28 ila pesa nyingi.
Hivi mnafikiri kuwa na umri mkubwa ni sifa wakati mfukoni hamna kitu tafuteni hela...
Habari za mda huu siku ya Leo nimetoa mualiko wa maulidi Kwa masikini wote nimechinja ng'ombe 25 Kwa ajili ya masikini hakikisheni mnafika maana mnanjaa sana na Kwa wale wanawake ambao mnahitaji...
Hakuna kupika leo, tuingie mtaani, wkend imeanza; wapi kuna vaibu nzuri kwa siku ya leo; kuwepo na laivu bendi yenye mdundo wa taratibu, usiochosha mwili na viungo.
Mi nimeshapiga pamba zangu...
Aisee mimi katika vitu nimekaa navyo kwa miaka mingi na mpaka sasa bado ninavyo na vinaniwezesha katika service za mwili wangu ni taulo na sanduku la nguo ambalo nimelitumia mara nyingi kuhifadhi...
Eti vile vivulana vya hapa mnisaidie kwamba kama ukimnunulia mtu simu ndo unampangia na jinsi ya kuitumia, unamchagulia na mitandao ya kujiunga na unataka ujue na Nickname yake ya JamiiForums
Nyie masikini nimeshawaambia siwahitaji pm maana nawaona mnavyojaa kuomba pesa nimeshasema ukioniona barabarani ndio uniombe pesa mmesikia nyie masikini sitaki mtu pm tafadhali mnaanza kulialia...
Ukweli,
Kwanza kuna itikadi yetu ambayo hua ni umoja popote ulipo.
Yaani kwanza kama sio rozari shingoni na kujiamini bado hujakamilika hata uwe uliishia form four haukuendelea na miaka ya...
Hebu tupeane uzoefu kumtongoza mwanamke wa umri 60 +. Nini matokeo? Je, kuna uwezekano wa kupigwa kibuyu? Wazee wenzangu hebu tupeane mrejesho.
Kuna mzee mwenzangu nina hofu asije nitangaza...
Kama kawa, kama dawa....
Asili kuacha ni kimbembee....
https://youtube.com/shorts/FGKi35ClhvM?si=TYfyZ1TtOMv45IZt
Muonekano hapo juu wa picha unasema yote, mwanamke akiwa juu ya Farasi...
Wakuu imezoeleka kwamba mtu unapoamka asubuhi na hang_over au mning`inio kwa kibantu basi watu wengi hukimbilia supu ya nyama makongoro au miguu ya wanyama walao nyasi.
Kiuhalisia supu ya nyama...
Huu ni uzi maalum kabisa kwa wale wachache tunaokwenda na muda kiasi cha kuhakikisha teknolojia mpya zaidi ya simu duniani yaani iphone 16 ipo kwenye mikono yetu laini.
Hapa tutaambiana vile...
Nimeona niweke thread tuweke majina ambayo kiuhalisia ni jina moja. .. tofauti ni jinsia Tu ya mtoto anaepewa.. .
Twendeni...
Joseph/Josephine .
Noel / Noela .
Shariff/Shariffa..
Aziz/Aziza
Ah wapi! Sitoi salamu
Serikali mbona mnatunyanyasa asee?. Mnataka sisi hela za nyagi tuzitolee wapi? Jamaa tumeshawazoea kupigizana kelele mikwara kibao.
Leo nimeamua kutafuta bifu na bahari...
Kijana huyu hapo chini kwenye picha ni mwanasheria lakini anafanya kazi ya kuuza genge baada ya kuona ajira hazieleweki. (eastafricaTv)
Mdau hebu tuambie je Kwasasa unafanya kazi ya ulichokisomea?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.