JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
UYU SASA NDIO MTUMBWIZAJI
1 Reactions
4 Replies
275 Views
mdada kama una bwana ni muendesha magari yaani fuso zinazo toka nje ya nchi na kila akienda kupeleka mzigo nje na wewe unaenda kujifanya unapenda sana wakati uho mwezio jicho lake kwako ni kwa...
6 Reactions
16 Replies
551 Views
Kila mtu ana namna tofauti ya kusherehekea birthday yake 1. Unapiga magoti na kumshukru Mungu 2. Unaalika jamaa na marafiki katika hafla 3. Unaenda bar kupata kinywaji 4 keki laZima ihusike 5...
7 Reactions
64 Replies
2K Views
Mods hapa ni chitchat na sio jukwaa la siasa. Huu uzi ni wa kuwatania vijana wetu wanaoogopa kulala rumande wakati kuna watu wanalala rumande zaidi ya mara 10 kwa mwaka na hawakondi wala hawaogopi...
4 Reactions
12 Replies
586 Views
Habari Wana jamvi.... Naamini jukwaa hili limebeba watu wengi sana , Leo napenda tushare taarifa na uzoefu mbali mbali hasa kwa wale wakatoliki wenzangu tuliosoma shule za seminary, binafsi...
3 Reactions
12 Replies
638 Views
Habarini wakuu I hope mko gud. Moja kwa moja kwenye mada kumekua na battle nyingi hapa jf kuhusu uzuri na ubaya wa badhaa ya majiji.nini kiko moshi na nini Kiko ARUSHA ambacho kinakuinterest kwa...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Najua mpo ingawa wachache. Mkaka alie na mwanamke mmoja tu aje kutufanyia sala ya kubariki sikuyetu na wiki nzima inayoanza leo.
0 Reactions
2 Replies
301 Views
LITTLE GHANAIAN PLAYER [TWI] - YouTube Umri wake ni mdogo lakini anakipaji cha kuchukuwa mwamke yeyote yule na mali popote pale na kwa wakati wowote ule.
1 Reactions
7 Replies
8K Views
mtu kaja pm ana anza unaitwa nani? umri wako? unajishughulisha na nini? elimu yako? makazi yako? nakereka
5 Reactions
45 Replies
1K Views
Wananzengo vipi? Leo tunaenda kula bata wapi? Wanasema kazi na dawa; ukiwa bize sana ni sawa na kutumia mikono yako kusukuma mlima ili uweze kuhama. Twende kazi!
4 Reactions
69 Replies
2K Views
Ndugu kijana ulitumia mbinu gani kupata TSH milioni 100? Tunaomba mbinu vijana wenzio wajifunze.
2 Reactions
11 Replies
729 Views
Duh huyu Mwamba nadhani ndio Shetani mwenyewe. Idadi ya mafuta ya vilainishi alivyokutwa navyo Picha kwa hisani ya Crown Media
2 Reactions
6 Replies
513 Views
Ww kama mwanamke mwenye akili timamu usiwahi kunyanyua mkono wako kumpiga mwanamke mwenzio au kumletea Fujo yoyote kisa anatembea na bwana ako...mwanamke anatongozwa..na Kwa madai ya kwamba...
13 Reactions
52 Replies
2K Views
Mambo vip wana Jamiiforums, kama kichwa kinavyojieleza, kwakweli ninaomba ku share nanyi mambo hayo sisi vijana tumekuwa tunazongwa na hayo mambo kiasi kwamba tunadhani tumeimiliki dunia. Binafsi...
6 Reactions
79 Replies
2K Views
Kuna muda kama huu nakuwa nawashwa kabisa kuanzisha uzi JF lakini nakuwa sina la maana sana la kuandika kwenye huo uzi. Hebu wataalamu wa kuanzisha nyuzi nipeni idea hapa, nianzishe uzi wa...
6 Reactions
24 Replies
669 Views
😂😂😂😂 Wakuu majuzi nilienda kumchek anko bush flani hivi one time. Nilifika mida ya jioni, nikalala kesho yake asubuhi nikaamka ile kutoka nje nikaona msululu wa ma pikipiki na baiskeli watu...
10 Reactions
18 Replies
1K Views
Nikiona magari ya OYA Yanakuja kwenye duka langu
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kisa cha jamaa yangu mmoja aliwahi kunihadithia miaka kadhaa iliyopita, Katika pilika pilika za maisha alikuwa akiendesha baiskeli aina ya Phoenix akawa amepita njia moja hivi ambayo ina...
1 Reactions
1 Replies
291 Views
Back
Top Bottom