Tafiti zimethibitisha watu wafupi wenye miili midogo ndio matajiri, wenye akili na afya ya mwili

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,713
29,070
Mzuka wanajamvi.

Tafiti za uhakika zimethibisha waziwai watu wengi wafupi wa kimo na wenye miili midogo duniani wanaongoza kwa maendeleo, utajiri, maendeleo, akili, mafanikio, uongozi pamoja na afya ya mwili. Na ndio wanaishi maisha marefu.
 
Mzuka wanajamvi.

Tafiti za uhakika zimethibisha waziwai watu wengi wafupi wa kimo na wenye miili midogo duniani wanaongoza kwa utajiri, maendeleo, akili, mafanikio, uongozi pamoja na afya ya mwili. Na ndio wanaishi maisha marefu.
Leta reference ya hizo tafiti
 
Mzuka wanajamvi.

Tafiti za uhakika zimethibisha waziwai watu wengi wafupi wa kimo na wenye miili midogo duniani wanaongoza kwa maendeleo, utajiri, maendeleo, akili, mafanikio, uongozi pamoja na afya ya mwili. Na ndio wanaishi maisha marefu.
Huko Denmark elimu ni bure kuanzia vidudu hadi Ph.D, si ungesoma angalau hadi Masters mkuu? Kwa nini ukubali kuishi kwa kubeba box miaka 30 ili mradi umudu bills wkt ungeweza kupanua wigo wa fikra zako kwa elimu ya juu ya bure kabisa
 
Leta reference ya hizo tafiti
Mkuu tafiti ujibiwa na tafiti. Yani watu tumezama field halafu bado unadai reference?

King David alikuwa mfupi, zakayo alikuwa mfupi, Roman emperor wengi kwaanzia julius caesar walikuwa wafupi. Pharaoh walikuwa wafupi.

Mark Zuckerberg ni mfupi na mwili mdogo, Bill Gates, Warren buffet, ramaphosa, brucelee, Sergei brim, Jeff Bezos, Neil Armstrong. Kwa kifupi top 20 ya mabillionarw duniani ni wafupi na wenye miili midogo. Huko kwe millionaire ni utajiri.

Hata astronauts wakichaguliwa kwenda anga za juu wanaselect wafupi na wenye miili midogo.

Angalia Japan, Malaysia, Korea, china na jamii hizo ni wafupi wenye miili midogo
 
Back
Top Bottom