JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimewaza tuu eti Kuna watu mpo humu mnaisikia Dar redioni tuu? How come? Yani una miaka 30 plus dar hujawahi kufika??
18 Reactions
229 Replies
4K Views
Huyu member anae jua id yake mpya anipe pm nimemkumbuka sana sijui nini kilimfanya apotee hapa jamvini
1 Reactions
17 Replies
550 Views
Habari wakuu, Naomba kujuzwa kwa mtu aliye Mbezi Beach shule anafikaje Chanika mwisho kwa usafiri wa daladala . Option ya Bolt inaleta mpunga mrefu kidogo 52k
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Naombeni waungwana
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Naomba kuuliza hivi nyie wengine mnawezaje kunywa kulewa halafu hampigani ngumi? Mbona mimi siwezi!!
17 Reactions
108 Replies
3K Views
Kama kuna mtu anataka kuchati nami karibu,leo silali
0 Reactions
27 Replies
997 Views
Ramadhan Kareem. Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini. Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk. Mshana Jr...
85 Reactions
377 Replies
19K Views
Kuna baadhi ya walimu bana walikuwa hawana shida na mwanafunzi kabisa. Leo nimeikuta hii Facebook nikamkumbuka mwalimu wangu aliyekuwa anapenda sana kusema hivi.
4 Reactions
8 Replies
474 Views
Nataka nijue tu kuna sometimes unaamua kupunguza kulewa kwenye ma bar na wanawake unaamua sasa kuwa unakunywa 2,3,4 mazingira ya karibu na nyumbani. Ila mke anaanza kuleta tofauti anadai usinywe...
1 Reactions
1 Replies
368 Views
Niongeze nini?iwe mlo kamili Karibuni
15 Reactions
71 Replies
2K Views
Kipindi cha uchumba: ushatolewa posa mwenyewe unangoja kufunga ndoa aisee hiki kipindi binafsi nilienjoy sana na sio Mimi tu Bali wanawake wengi hufurahia kipindi hiki.. Kipindi cha mimba...
13 Reactions
31 Replies
2K Views
1. Rais 2. Wabunge Majimbo yatakuwa majukwaa ya JF. Tutapendekeza majina. Hakuna kuhusisha vyama. Tunaweza chagua mwenyekiti wa kuongoza uchaguzi.. kimsingi sisi wengine tupate uongozi angalau...
5 Reactions
15 Replies
756 Views
Nawapenda sana na nawatakieni jioni njema wadada wa Jamiiforums mtag mdada unaempenda na unae mkubali sana mimi nawakubali hawa👇👇 FaizaFoxy Kasie Dr Lizzy Depal dada yangu Jadda Kalpana Unique...
8 Reactions
48 Replies
2K Views
Naomba nikosolewe au kupongezwa kwa utaratibu nilioelekeza nyumbani kwangu kwamba ni marufuku wife kupokea shukrani za mgeni anaeshukuru kwa chakula. Hii imekua ikitokea hata kwa wageni ambao...
16 Reactions
49 Replies
3K Views
I pray that God will lead you every step of the way during this difficult time. My Condolences on your moms death. Mahondaw Mahondaw
5 Reactions
33 Replies
29K Views
Nimewatazama wazee wangu pamoja na marafiki zangu ambao ni wazee, nimegundua miili yao haiongezeki zaidi ya kupukutika; ile minofu iliyokuwa inaficha mifupa inapotea. Sasa najiuliza swali kwa...
12 Reactions
50 Replies
14K Views
Aisee naona kama nimeshindwa tena kuwapiga sound mademu yaani siku hizi sound zangu naona kama zimeisha nguvu kila demu ninaemtongoza now simpati sijajua shida ni nini maana hadi nimekata...
4 Reactions
18 Replies
23K Views
Mambo yalipofikia sio mazuri. Nadhani inahitajika busara ya ziada kufundishana na kuelekezena pasipo kubughudhiana na kutukanana. Kina dada wa JF mnataka tufanye nini! tutafute mbinu zipi...
53 Reactions
875 Replies
56K Views
Naisubiri siku hii kwa hamu niamke mwenye hasira kiasi cha kutaka kuua mtu na si mmoja Kabla ya kulala usiku huo nitakunywa pombe nyingi na bangi nyingi ili nikiamka niwe nazo kichwani na...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom