inasemekana kuwa wanaume waafrika wengi wakiwa usingizini mikono yao hupenda kushikilia nyeti zao, tofauti na wazungu ambao hushika kichwa, je kuna ukweli wa hoja hii? kama ni kweli ni kwa nini?
Hospital ya Rugambwa ipo ktk mkoa wa Dar es salaam, kata ya Ukonga, kitongoji cha mwembe madafu. Hospitali inayomilikiwa na kanisa katoliki jimbo kuu la Dar es salaam. Pamoja na kuboreshwa kwa...
Klabu kongwe hapa nchini ya Simba imefanikiwa kupata nafasi ya kushiriki katika Kombe la Klabu la Dunia mwishoni mwa mwaka huu baada ya kufanya vizuri katika makombe mawili iliyoshiriki:Klabu...
Niliona uzi hapa jamvini umeleta majina ya wadada viongozi wapya wa CC 2014. Uzi huo uliletwa na ladyfurahia.
Napinga hoja! Kwa kuzingatia haya:-
Mwenyekiti ladydoctor Amefukuzwa mtaani kwa...
Habarini za sahizi wana mmu mie nashangaa hawa watu ukianzisha siredi wanakuambia weka picha kwani mmeambiwa mie mpiga picha au shule zifungue tu jamani
BARUA MAALUM KWA MMU WOTE
S.L.P. 2014
LADIES ONLY
JF CC NA MMU
MODERATOR
S.L.P 000
JAMII FORUM
YAH: MWENYEKITI MPYA WA MMU 2014 NA VIONGOZI WENZAKE
Rejea kichwa cha habari hapo juu...
Niko huku jijini Arusha lakini sina uhakika kama kuna wadau wa JF, kama kuna wadau wa JF basi wajitokeze tufahamiane na kubadilishane uzoefu.
Nawasilisha.
Ni mwaka mmoja sasa tangu nimekutana nae na kusema yes i do feel the same to my lovely sweetheart
na bado tupo imara. namshukuru mungu kwa kutupa afya njema na kutuepusha na vikwazo mbalimbali
vya...
Habari za siku:
Kwanza leo ni Ijumaa na kwa sasa niko salama mahali flani nikiwa na akili zangu timamu.
Nisiwachoshe ni hivi: Hivi karibuni nimepokea malalamiko kutoka kwa Wana-Chitchat kadhaa...
jamani wana cc nisikukadhaa zimepita nilikua nikiana thread mbalimbali nying zisemazo ni memmiss mke wangu khaa kuona vile nikajua kumbe kuna kuoana humu jf .Hahaha sasa basi NA MIMI NATAFUTA MKE...