Tafuta tution ya care,utakuja kulia hapa!
Hili lina athari katika mahusiano?
Si uende akaanze na wewe...???
Akaanze nini?
Kutoka nje [out]...!!!!!!!!!
Mi natoka mwenyewe,sisubiri kutolewa na mtu
Aisee.... Shida sana!
Hata na mimi hutaki?