mozambique
Senior Member
- Jan 2, 2014
- 101
- 15
Jinsia yangu ni ya kiume,umri wangu ni miaka 30,single,naomba mnipokee vizuri hapa.
Salve africa
Salve africa
Your ASL?
karibu bwana tupo wazee wa ngwasumaJinsia yangu ni ya kiume,umri wangu ni miaka 30,single,naomba mnipokee vizuri hapa.
Salve africa
karibu bwana tupo wazee wa ngwasuma
ok bana mienashukuru sana wazee WA ngwasuma.
Nalog off
ok bana mie
nalog out
Unamaanisha 250,haiandikwi hivi kwa kireno. ILA huyo jamaa simpati
mbona wengine unawatajia basi nami nitajie nikajarubu
karibu bwana tupo wazee wa ngwasuma
acha hizo bwana mi kidumeHuyu ndiyo bwanaako ?
acha hizo bwana mi kidume
hamna mkuu ni utani wapalenapalembeya yetu,na Judgement,mbona mnataka kupigana?