utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,675
jamaa katoka zake kanisani,kufika hom akamkumbatia mkewe na kumnyanyua juu,mke:"mume wang leo umeamua kunionyesha mapenzi ya dhati mpaka kunibeba namna hii"mume:"Aah wapi aisee., mchungaji kasema tunyanyue matatizo yetu juu ili tumuonyeshe bwana...