kuweni tayari kupokea kitufe cha KISS..!

kuweni tayari kupokea kitufe cha KISS..!

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,463
Reaction score
17,956
nashauri kwa kipindi cha mpito ambako hatuna kitufe cha LIKE, moderators waweke kitufe cha KISS!!

toeni maoni wadau..
 
Mmh basi yawepo ya 'from man to woman' na 'from woman to man'. Vinginevyo naanza kunoa nakoz
 
Kwanini hiki kitufe hakichelewi kufa? Mods mnaweka vya kichina au?
 
eh....nahisi itakiwa mbaya saba mjini...
 
Mmh basi yawepo ya 'from man to woman' na 'from woman to man'. Vinginevyo naanza kunoa nakoz

hahahaaaa!!! mkuu itakuwa poa sana hii!!

tujuane nani me nani ke!!
 
Excel ndoa yangu tafadhali mimi hapana kwa kwel siwezi kuvumilia kuona kiss laenda kwa bebi
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa!! kwanini?

kwani mango g akimkiss Asprin kuna ubaya?

au tufanye Window7 ama Jipu akimkiss neggirl ama nameless girl, ubaya uko wapi?

ebana kitufe cha like kiondolewe tu!!

Hakuna ubaya si
A%20S%20kiss.gif
tu .. Ila sijui kwa nini umeniweka mbali na mango g wangu
A%20S%20kiss.gif
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom