mayenga
JF-Expert Member
- Sep 6, 2009
- 4,118
- 1,975
Wana chit chat!
Mpendwa wetu Paloma leo anatimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake.Muda mfupi uliopita nilifanya kazi ya kumfunga nepi,na nimeahidi ikifika saa sita ntaenda kumbadilisha.Mpenzi Paloma,nikutakie maisha marefu na yenye fanaka,Mungu wa mbinguni akuongezee miaka mingi zaidi,na udumu katika furaha.
Karibuni sana tusherehekee sikukuu ya dogo Paloma!!kuhusu ukumbi na muda mtatangaziwa baadae,ila kila mmoja kwa wakati huu,anashauriwa kupendekeza msosi na kinywaji akipendacho!
Paloma