shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,373
View attachment 137662
Katika kupitia pichapicha za harusi ya sosoliso na Paloma nikakutana na hii picha hapo ilikuwa ni siku ya kwanza ya fungate.
Waweza pata picha hii ndoa iko na hali gani sasa.
Cc Baba V Arushaone inabidi hii ndoa ifanyiwe ukaguzi upya
Mshindo wa gari au naniliu mi nina wasi wasi na ndoa yenu
Wanaitaji ukaguzi hawa watu.
Ndoa yetu pia nitonye inatia mashaka
Inawezekana maana walikutana wote mabikra lol