Ndoto tata!!!

Ndoto tata!!!

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Habari zenyu binafsi......


Tulikuwa mahali tunapata Dinner, mimi na watu wawili. Mtu wa kwanza sikumfahamu ila mtu wa pili alikuwa Mwigulu Nchemba, alikuwa kavalia zake singlendi nyeupe na suruali ya kijivu. Tukiwa tumekaa juu ya mkeka...

Chakula chenyewe kilikuwa kande za mchanganyiko wa mahindi na maharage... Tulitumia mikono kula chakula hiko, daaaah kilikuwa kitamu ajabu... Ila baada ya kula nilistuka toka usingizi, sijui kilichofatia..

Hii ndio ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo... Hebu wataalamu wa ndoto, hii ina maana gani??? Kula chakula pamoja na Naibu Waziri?????
 
Yaani duuh ! Mbona veresimpo! Ukiota unakula manaake na wewe lazima ..........
 
Me nakushauri uendelee kulala mpaka ndoto ikamilike
 
jamani dogo langu una ivituko sasa hiyo ndoto ya chakula inahusuje na huyo waziri jamani?
mbona vile vidude vya kulike leo havipo hapa wamevijanjua nini tena akina M?
 
Habari zenyu binafsi......


Tulikuwa mahali tunapata Dinner, mimi na watu wawili. Mtu wa kwanza sikumfahamu ila mtu wa pili alikuwa Mwigulu Nchemba, alikuwa kavalia zake singlendi nyeupe na suruali ya kijivu. Tukiwa tumekaa juu ya mkeka...

Chakula chenyewe kilikuwa kande za mchanganyiko wa mahindi na maharage... Tulitumia mikono kula chakula hiko, daaaah kilikuwa kitamu ajabu... Ila baada ya kula nilistuka toka usingizi, sijui kilichofatia..

Hii ndio ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo... Hebu wataalamu wa ndoto, hii ina maana gani??? Kula chakula pamoja na Naibu Waziri?????

mbaya maana huyo kijana kavurugwa! mimi ningeota wala nisingekula!
labda kuna msiba wao maana sie kwetu kande/ngati chakula cha msibani
cc: Baba V
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei wala sio mkono bali kiuno... Huoni ilivyo ya ajabu ajabu???
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom